Kenya yafanya mazungumzo na Iran ya kuondoa marufuku ya kununua chai yake
Iran ilipiga marufuku ununuzi wa chai kutoka Kenya ikichochewa na madai ya biashara mbovu ya uhalifu iliyohusisha kampuni moja ya Kenya.
Iran ilipiga marufuku ununuzi wa chai kutoka Kenya ikichochewa na madai ya biashara mbovu ya uhalifu iliyohusisha kampuni moja ya Kenya.
Waziri Mkuu wa Kenya Musalia Mudavadi amethibitisha haya wakati muswada unaopendekezwa katika Seneti ya Marekani ukitishia kufuta hadhi ya nchi hiyo isiyo ya NATO (MNNA) kuhusu uhusiano wake wa kibiashara na Iran na Urus
Kampuni ya ulinzi ya Uturuki imeripoti kufikia ukuaji wa mapato wa asilimia 11.3 hadi kufikia dola bilioni 1.32 katika kipindi cha Januari-Juni, huku matumizi ya utafiti na maendeleo (R&D) yakiongozeka kwa asilimia 42 ku
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amemtaja Nestor Ntahontuye kuwa waziri mkuu mpya wa nchi ya Afrika Mashariki.
Nchi inapata $25B katika mauzo ya kila mwezi, kupunguza upungufu wa biashara, na kuimarisha uhusiano na EU wakati ambapo migogoro ya kimataifa inapiga vita biashara ya dunia.
Tamko hilo linakuja siku chache baada ya Tanzania kupiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya.
Hatua hiyo inalenga kupambana na uhalifu wa kifedha na kurejesha imani ya umma katika taasisi za fedha, Benki Kuu ya Somalia imesema.
Kenya imewasilisha malalamiko rasmi kuhusu masharti mapya ya biashara na leseni yaliyotangazwa na Tanzania wiki hii.
Miongoni mwa makampuni yanayomilikiwa na serikali KPC imedumisha faida kubwa lakini inasalia kutatizwa na uzembe katika urasimu.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa wito wa kutatuliwa kwa changamoto za uwekezaji kati ya bara la Afrika na visiwa vya Karibi.
Mamlaka ya ukusanyaji Kodi Tanzania TRA imetoa makataa ya hadi mwisho wa Agosti kwa biashara zote za kidijitiali na za Air Bnb kusajiliwa kupewa nambari ya utambulisho TIN au wakabiliwe na sheria.
Utafiti wa Benki ya Dunia unaonyesha kuwa akaunti za pesa za rununu zinachangia ongezeko la umiliki wa akaunti.
Zambia inataraji ukuaji wa uchumi kuongezeka hadi 6.4% mwaka ujao.
Ukuaji wa mapato ya mauzo ya nje ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mauzo ya nje ya dhahabu ya juu, korosho, kahawa, tumbaku, mkonge, na mazao ya bustani.
Mpangilio duni na msongamano wa vibanda na maduka zimesababisha visa vingi vya moto katika soko hili kubwa zaidi nchini Kenya na hasara ya mamia ya milioni ya pesa.
Katika wiki mbili mabasi ya kampuni hiyo yameripotiwa kufanya ajali mara mbili, ya hivi karibuni ilikuwa Mei 5 iliyoua abiria watatu.
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Ujasusi nchini Kenya amesema vikosi vya usalama vimekuwa na changamoto ya kifedha kwa muda mrefu na haviwezi kupata vifaa vya kisasa vya ulinzi.
Kongamano hilo maalumu la kiuchumi, ambalo linaanza Mei 12 hadi 13, 2025, litawaleta pamoja jumla ya washiriki 2,000 kutoka pande mbalimbali za bara la Afrika.
Benki kuu ya Tanzania mapema mwezi huu, imetoa taarifa inayosisitiza matumizi ya fedha za ndani katika manunuzi na biashara zote za ndani huku ikisema kuwa matumizi ya fedha za kigeni ndani ya nchi ni kinyume cha sheria.
Mabadiliko muhimu ni pamoja na kurahisisha urejeshaji wa kodi, kuimarisha sheria za migogoro ya kodi, na kurekebisha sheria kuu za kodi ili kupunguza ukwepaji.
Hata hivyo kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa, hakuna msamaha kwa watuhumiwa wa hujuma ya uchumi wa nchi, ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya watoto wachanga, ugaidi, biashara ya dawa za kulevya na uhalifu wa mtandaoni
Maafisa wa Tanzania wanasema kuwa nchi hizo mbili ziliwasiliana kivyake kutafuta suluhu ya mzozo wa kibiashara kwa njia ya mazungumzo.
Sekta ya kibinafsi ya Uchina imekuwa muhimu katika kukuza ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa miaka mingi kupitia uwekezaji wao katika sekta mbalimbali za uchumi wetu- Ruto
Ni katika ziara yake ya kiserikali ya siku nne nchini humo, ambapo mbali na hiyo, pia atajadiliana masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa na mwenyeji wake Xi Jinping.