Ushindi wa kihistoria: Nigeria ni timu ya kwanza ya Afrika kutwaa Kombe la Dunia la Wanawake la U-17
Timu ya Flamingos ya Nigeria iliifunga Japan 2-1 na kutwaa ubingwa nchini Morocco.
Timu ya Flamingos ya Nigeria iliifunga Japan 2-1 na kutwaa ubingwa nchini Morocco.
Hii ni mara yake ya pili kuja Tanzania baada ya kusimamia Klabu pinzani ya Simba SC
Wakimbiaji wataalamu arobaini na watatu wanashindania zawadi ya dola 50,000 inayotolewa kwa kila mshindi wa mbio za kilomita 42.
Michezo ya Olimpiki ya Vijana, inayohusisha takriban wanariadha 2,700 kutoka kote duniani, inafanyika kuanzia tarehe 31 Oktoba hadi 13 Novemba nchini Senegal.
Lamine Yamal alikosa fursa ya kuwa mshindi mwenye umri mdogo kupata taji la Ballon d'Or, lakini alishinda tuzo ya Kopa kwa kuwa mchezaji kinda bora kwa mara ya tatu mfululizo.
Waziri wa mambo ya nje anatoa wito kwa mashirikisho ya kimataifa ya michezo kubatilisha uamuzi huo, akisema kuwa kuna hatari ya kuhalalisha vita vya Urusi dhidi ya Ukraine
Kenya ni miongoni mwa timu nne za Afrika zilizofika hatua ya mtoano, ikiwa pamoja na Nigeria, Ghana, na wenyeji Morocco.
Tumerejea na sehemu nyingine ya mfululizo wetu unaoangazia vipaji vya riadha barani Afrika.
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa CAF, Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini, waliondolewa kwa mshangao katika michuano ya msimu wa 2026/27 siku ya Ijumaa, baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Wiliete ya Angola jiji
Licha ya matokeo haya, Korea Kaskazini bado inaongoza Kundi B, huku Nigeria ikishika nafasi ya pili; timu zote zina pointi 6, lakini zinatofautishwa kwa idadi ya mabao.
Michuano hiyo itakuwa na timu 19 kutoka mashirikisho 6, huku Arsenal, Barcelona zikiwa miongoni mwa vilabu 7 ambavyo vimeshafuzu
Liverpool ilipindua matokeo ya kufungwa 2-0 hadi kumaliza kwa ushindi wa 4-3 katika Uwanja wa Anfield,
CAF inasema utambulisho huo mpya na kombe hilo ni hatua nyingine katika mageuzi ya mashindano hayo, yakilenga kuimarisha hadhi ya soka la klabu za wanawake barani kote.
Morocco na Nigeria zinarejea uwanjani kwa ajili ya mechi zao za pili katika hatua ya makundi; Morocco itakabiliana na Ujerumani katika Kundi A, huku Nigeria ikimenyana na Puerto Rico, wanaoshiriki kwa mara ya kwanza, kat
Goli hilo la dakika ya 80 ndilo lilowasaidia mabingwa hao watetezi kupata ushindi wa 1-0 wakiwa ugenini
Sasa Nigeria wanahitaji ushindi katika mchezo wao ujao wa Kundi B dhidi ya Puerto Rico siku ya Jumanne.
Afrika itawakilishwa na timu tano, zikiwemo wenyeji Morocco, pamoja na Nigeria, Ghana, Zambia na Kenya.
Hispania imetozwa Dola 20,000 na kutakiwa kufunga sehemu moja ya uwanja watakapocheza mechi nyingine ya kirafiki.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la FIFA wamesema msamaha huo haujajibu maswali muhimu yaliyopo.
Eliud Kipchoge ndiye mwanariadha wa mbio za marathoni aliyepata mafanikio makubwa zaidi katika historia.
Winga huyo Mhispania ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara 3 akiwa na Barcelona, Ligi Kuu ya England akicheza Chelsea na Kombe la Dunia 2010 akiwa na timu ya taifa Hispania
Tofauti iliibuka wakati Jesus alipomuweka 'benchi' Ronaldo katika mechi ambayo Ureno iliishinda Norway.
Tume huru iliyosikiliza ilibaini kuwa Manchester City haikutoa ushirikiano katika uchunguzi wa ligi kwenye baadhi ya tuhuma.
Mapendekezo hayo yanapanga kutoa fedha hizo kwenye akiba ya FIFA, huku kila shirikisho kati ya mashirikishio 211 likipata kiwango cha chini $10 milioni kati ya mwaka 2027-30