Uturuki yataka kuimarisha ushirikiano na kupunguza mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu: Erdogan
Mwanamke wa kumi apatikana amefariki katika msururu wa mauaji nchini Afrika Kusini
Polisi wa Afrika Kusini walipata mwili mwingine siku ya Jumamosi huko Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg.
Marekani yaingia mkataba wa kuvuna mafuta na dhahabu ya Venezuela
Mwanasayansi wa AI: Akili Bandia ya Sasa Bado Haina Uelewa wa Dunia Halisi
Wanafunzi warejea mashuleni baada ya vita kumalizika Iran
Afrika Kusini yawasaka wauaji wa mtangazaji wa michezo Owen Ndlovu
Habari za hivi punde
Mwanamke wa kumi apatikana amefariki katika msururu wa mauaji nchini Afrika Kusini
Polisi wa Afrika Kusini walipata mwili mwingine siku ya Jumamosi huko Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg.
Iran yapendekeza makubaliano na Marekani kufungua Mlango-bahari wa Hormuz ndani ya siku saba
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliwaelezea waandishi wa habari nje ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu pendekezo hilo, akisema…
Qatar Airways yakopesha marubani kwa shirika la ndege la taifa la Rwanda
Msemaji wa Qatar Airways alisema kuwa fursa hiyo ya hiari ya kuhamishiwa kazi kwa muda mfupi itatoa fursa muhimu za kupata uzoefu kurusha ndege kwa maruban…
Wapiganaji wa RSF wahamia upande wa jeshi la Sudan baada ya kushuhudia 'maafa'
Wapiganaji walioasi wanasema uamuzi huo ulifuatia ‘maafa’ yaliyoshuhudiwa ndani ya kundi hilo la wanamgambo.
Jenerali wa DR Congo miongoni mwa watu 13 waliofariki katika ajali ya ndege
Abiria wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo walifariki baada ya ndege kuwa na hitilafu ya kiufundi na kujaribu kutua eneo la makazi ya watu, afisa mmoja alis…
Afrika itapatana hadhi ya uwanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?
Viongozi wa dunia, hasa kutoka barani Afrika na Mataifa yanayoendelea, wamehoji kuwa shirika lililoundwa miaka 80 iliopita haliendani na dunia ilivyo kwa s…
Sudan yashtumu taarifa za Marekani zinazohoji uhalali wa serikali huku viza ya Burhan ikizua utata
Sudan inatoa wito kwa Marekani kuheshimu uhuru wake huku wanaharakati na waandishi wakishtumu kuhusishwa kwa viza ya UN ya Mwenyekiti wa Baraza la Sudan Ab…
Mke wa Besigye awataka viongozi wa Afrika wazungumzie masuala ya haki za binadamu
Katika ujumbe kupitia mtandao wa X, Byanyima alisema aliibua suala la kuendelea kuzuiliwa kwa Dk. Besigye nchini Uganda.