Serikali Yaongeza Mapambano Dhidi ya Wachimbaji Haramu wa Dhahabu
Rais wa South Africa, Cyril Ramaphosa, amesema serikali inaongeza juhudi za kukabiliana na mitandao ya uhalifu inayohusika na uchimbaji haramu.
Rais wa South Africa, Cyril Ramaphosa, amesema serikali inaongeza juhudi za kukabiliana na mitandao ya uhalifu inayohusika na uchimbaji haramu.
Makubaliano hayo yanawezesha upatikanaji wa shaba, cobalt, coltan na Lithium kwa kampuni za Marekani, lakini Waziri wa Madini wa Congo amesema nchi yake haijauza chochote mpaka sasa.
Rais Felix Tshisekedi alitoa ofa kwa makampuni ya Marekani kuchimba na kuvuna madini yenye thamani ya Dola Trilioni 24, kama sehemu ya mpango wa Marekani kuisaidia DRC kupambana na waasi.
Kulingana na Waziri Mkuu wa Ethiopia, bwawa hilo lilijengwa kwa kutumia fedha za ndani za nchi hiyo.
Rwanda imekanusha tuhuma za Umoja wa Mataifa kwamba inaunga mkono kundi la M23.
Msumbiji yazindua mtambo wa grafiti wa dola milioni 150.
Maafa yakumba kitovu cha uchimbaji madini kinachodhibitiwa na waasi cha Rubaya, chanzo kikuu cha madini ya simu mahiri duniani.
Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaj
Thamani ya dhahabu yafikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea, gramu 28.35 ya dhahabu sasa inauzwa dola 5,000 za Marekani, huku mvutano wa kisiasa wa kimataifa ukiongezeka.
Shughuli za uokoaji zinaendelea nchini Sudan huku makumi ya wachimba migodi wakisalia kukwama chini ya vifusi vya migodi.
Ripoti mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Madini na Uchumi wa Bluu, inasema nchi inatathmini jinsi ardhi iliyotumika hapo awali kuchimba madini inavyoweza kurekebishwa na kutumika tena kwa manufaa ya kijamii, kiuchumi na k
Washukiwa wa ugaidi wameshambulia mgodi wa dhahau wa Morila nchini Mali mwishoni mwa wiki, kuchoma vifaa na kuwateka wafanyakazi saba kabla ya kuwaachilia baadaye, afisa mmoja kutoka kwa wizara ya madini ameiambia Reuter
Mnamo Machi 2025, Rais wa DRC Felix Tshisekedi alipendekeza kwa Marekani kuwezesha upatikanaji wa madini ya kimkakati ili kubadilishana na makubaliano rasmi ya usalama.
Kampuni inayofanya kazi katika jimbo la Kivu Kusini, ambayo sehemu kubwa iko chini ya udhibiti wa M23, ilisema wiki hii kwamba M23 "imesafirisha dhahabu kwa njia ya siri."
Rais Andry Rajoelina amekiri kuwa "waziri wa nishati hakuwa anafanya kazi yake kama inavyotakiwa".
Urusi na Ethiopia zimesaini mpango wa kuanzisha mradi wa ujenzi wa kiwanda cha nishati ya nyuklia katika nchi hiyo ya Afrika, shirika la habari la TASS limeripoti.
Botswana ilifanya vyema na kushinda mbio za mita 4x400 za dunia za wanaume katika hali ngumu sana ya hewa nchini Japani siku ya Jumapili.
Wizara hiyo ilisema washukiwa walikamatwa na mapato kutokana na mauzo hayo, yenye thamani ya takriban pauni 194,000 za Misri ($4,000).
Mwanariadha wa Kenya Peres Jepchirchir alishinda mbio za marathon za wanawake katika mashindano ya dunia siku ya Jumapili.
Utafiti huru unaonyesha kuwa kufikia sasa, hakuna usumbufu mkubwa wa mtiririko wa maji uliorekodiwa - kwa sehemu kutokana na mvua nzuri na kujazwa kwa uangalifu kwa hifadhi wakati wa misimu ya mvua katika kipindi cha mia
Ethiopia inasema itazindua hivi karibuni bwawa lake kuu, limejengwa kwenye Mto Nile na Serikali inasema lina na uwezo wa kuzalisha megawati 6000 ya umeme ikikamilika
Licha ya Tanzania kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, ikiwemo madini adimu kama nikeli na shaba, wachimbaji wa madini hayo kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kutonufaika ipasavyo.
Watu milioni 600 barani Afrika bado hawana umeme, Guterres aliuambia mkutano wa Tokyo
Uganda imezindua mgodi wake wa kwanza mkubwa wa dhahabu, mradi unaomilikiwa na China wenye thamani ya dola milioni 250 mashariki mwa nchi hiyo ambao pia utasafisha dhahabu hadi asilimia 99.9.