Sport
Dollar
0,0000
%Euro
0,0000
%Gram Gold
0,0000
%Quarter Gold
0,0000
%Silver
0,0000
%Kwa sasa, Msumbiji ndiyo kinara wa uzalishaji wa madini hayo, ikifuatiwa na Madagascar na Tanzania.
Msumbiji imezindua mtambo wa kuchakata madini ya Grafiti , unaogharimu Dola Milioni 150.
Uamuzi huo, unalenga kuyaongezea thamani madini hayo, kwa ajili ya mauzo ya nje.
Mtambo huo, utakuwa na uwezo wa kuzalisha tani 200,000 za Grafiti .
Kwa sasa, Msumbiji ndiye kinara wa uzalishaji wa madini hayo, ikifuatiwa na Madagascar na Tanzania.
Kwa mujibu wa taasisi ya Jiolojia ya Marekani, uzalishaji wa madini ya Grafiti ulipungua kutoka tani 98,000 mwaka 2023 hadi tani 75,000 mwaka 2024.
Madini ya Grafiti yana soko kubwa kimataifa, kutokana na ongezeko la mahitaji yake, hasa katika utengenezwaji wa bidhaa muhimu kama vile betri za magari na vimiminika vyake.
Comments
No comments Yet
Comment