Dollar

0,0000

%

Euro

0,0000

%

Gram Gold

0,0000

%

Quarter Gold

0,0000

%

Silver

0,0000

%

Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu.

13 wafa baada ya mgodi kuporomoka Sudan

Watu 13 na wengine sita wamejeruhiwa baada ya mgodi mmoja kuporomoka kusini mwa Sudan.

Tukio hilo, lilitokea ijumaa iliyopita katika migodi ya Umm Fakroun kusini mwa Jimbo la Kusini mwa Kordofan, kulingana na Shirika la Madini la Sudan (SMRC).

“Mitambo ya migodi hiyo ilikuwa imetekelezwa, licha ya kuwepo wachimba madini ndani yake,” ilisomeka sehemu ya taarifa yake.

Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, vimevuruga uchumi wa nchi hiyo, licha ya SMRC kutangaza ongezeko la uzalishaji wa tani 70 za madini mwaka 2025.

Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu.

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#