Mbunge Tanzania aulalamikia mpango wa serikali wa kutaka kusitisha uvuvi kwa muda Ziwa Tanganyika
Mbunge huyo ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa wavuvi kukata leseni za mwaka badala ya kulipia mara kwa mara kutokana na hali ngumu ya kifedhawaliyonayo.
15 Mei 2026
Kufungwa kwa Hormuz kunatishia usalama wa chakula kwa watu milioni 45: UN
Ulimwengu umezingatia zaidi athari za kiuchumi na usumbufu wa biashara ya mafuta na gesi, lakini Umoja wa Mataifa (UN) unaonya kwamba kuzuiwa kwa njia hiyo pia kunatishia usalama wa chakula duniani, hasa barani Afrika na
11 Mei 2026
Upungufu wa Mbolea Kutokana na Vita Iran Watishia Usalama wa Chakula.
Vita imevuruga usambazaji wa mbolea duniani na inaweza kusababisha uhaba wa chakula,
1 Mei 2026
Wanasayansi Wagundua Samaki Wanaopanda Kuta Congo
Utafiti mpya umebaini uwepo wa samaki wenye uwezo wa kupanda kuta katika mito ya DRC.
23 Aprili 2026
Afrika Kusini Yaongeza Ununuzi wa Chanjo Kukabili Mlipuko wa Mifugo
Hatua mpya zalenga kuchanja asilimia 80 ya mifugo ya taifa.
22 Aprili 2026
Uvuvi wa Viwandani Wawaumiza Wavuvi wa Jadi Senegal
Wavuvi wa Senegal wanapoteza kipato kutokana na uvuvi wa viwandani na haramu unaopunguza rasilimali za baharini.
24 Machi 2026
Mzozo wa Iran unatishia usambazaji wa Mbolea barani Afrika
Nchi kama vile Somalia na Kenya kwa kawaida hazihifadhi akiba kubwa ya mbolea na zinategemea zaidi usambazaji wa Ghuba.
20 Machi 2026
Afrika Kusini Yakamata Meli za Uvuvi za China Kwa Tu huma ya Uvuvi Haramu
Meli nne za uvuvi za China zimekamatwa katika maji ya Afrika Kusini kwa madai ya kufanya uvuvi kinyume cha sheria.
14 Machi 2026
Wakulima wa Kakao Afrika Magharibi Wakabiliwa na Mgogoro wa Bei
Kuporomoka kwa bei ya kakao kunawaathiri wakulima katika Afrika Magharibi licha ya soko la chokoleti kuendelea kukua duniani.
9 Machi 2026
Wakulima wa Kakao Ivory Coast Wakabiliwa na Kupunguzwa kwa Bei kwa Asilimia 60
Wakulima wa kakao nchini Ivory Coast wanatarajiwa kupata punguzo kubwa la bei ya mazao yao, hali inayoweza kuathiri mapato yao.
5 Machi 2026
Zambia Yafunga Mpaka kwa Mifugo Kutoka Afrika Kusini
Hatua ya dharura ya usalama wa mifugo yafuatia mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa miguu na midomo (FMD) nchini Afrika Kusini.
16 Februari 2026
Shirika la misaada la Uturuki laanzisha mradi wa ufugaji kuku kwa wanawake wa Tanzania
Shirika la TIKA linalenga kuboresha vipato vya wanawake, na kuwajengea uwezo wa kupata vyenye virutubisho vya protini.
12 Februari 2026
Njaa inayosababishwa na ukame kaskazini mashariki mwa Kenya yaua watoto na mifugo
Wakazi wa kaunti ya Mandera nchini Kenya wanahofia watoto wao kufa kutokana na njaa, wakati wakichoma mifugo iliyokufa huku vyanzo vya maji vinakauka na upatikanaji wa chakula ukiendelea kuwa tatizo.
27 Januari 2026
Waziri wa uvuvi wa Somalia apongeza ushirikiano wa kimkakati na Uturuki
Somalia, Uturuki waimarisha uhusiano katika sekta ya uvuvi kwa kutia saini makubaliano mapya
23 Desemba 2025
Somalia na Uturuki kuimarisha ushirikiano katika sekta ya uvuvi kupitia makubaliano ya kimkakati
Makubaliano hayo yatatoa fursa kwa sekta ya uvuvi ya Uturuki kufikia bahari ya Somalia na una lengo la kutengeneza za ajira mpya kwa watu wa Somalia na kufanya taifa hilo kufikia biashara ya kimataifa.
18 Desemba 2025
Vita vya Sudan: Zaidi ya watoto 20 wanakufa kwa utapiamlo katika mwezi mmoja
Vifo vya watoto hao katika miji chini ya kizuizi ambacho "huzuia kuingia kwa chakula na dawa na kuweka maisha ya maelfu ya raia hatarini."
23 Novemba 2025
UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto
Takriban asilimia 73.7 ya wanawake "hawafikii kiwango cha chini cha utofauti wa lishe, inayoonyesha lishe duni na hatari kubwa ya utapiamlo," shirika hilo linaripoti.
12 Novemba 2025
Malawi yapiga marufuku usafirishaji wa mazao kuimarisha usalama wa chakula
Hatua hiyo inafuatia nchi hiyo kukumbukwa na vimbunga vilivyoathiri uzalishaji wa chakula.
7 Novemba 2025
Watoto watatu hufa kila siku El-Fasher nchini Sudan kutokana na utapiamlo: Ripoti
“Kwa zaidi ya mwezi mmoja, hali ya kibinadamu mjini El-Fasher imezidi kuwa mbaya sana,” Kundi la Madaktari la Sudan limesema katika taarifa.
24 Oktoba 2025
Maambukizi zaidi 100,000 ya kipindupindu Sudan ndani ya mwaka 1 huku kukiwa na njaa: UN
'Sudan inakabiliwa na janga baya la njaa duniani, huku kipindupindu kikiongezeka,’shirika la OCHA limesema
1 Septemba 2025
Zimbabwe yarejesha marufuku ya uagizaji wa mahindi baada ya mavuno mengi
Zimbabwe imerejesha marufuku ya uagizaji wa mahindi ili kukuza wakulima wa ndani, na imekuza ya kutosha mwaka huu na kusambaza kwa kampuni za ndani za kusaga mahindi, afisa mkuu wa wizara ya kilimo alisema Jumatatu.
26 Agosti 2025
Israel yapeleka msaada Sudan Kusini huku ikiendeleza njaa Gaza
Hatua hii inakuja huku kukiwa na taarifa za Sudan Kusini kuwa katika mpango wa kuwapa makazi Wapalestina.
18 Agosti 2025
Utapiamlo waua watu 63 kwa wiki katika jimbo la El-Fasher Sudan
Upungufu wa lishe umekuwa ukisababisha vifo vya angalau watu 63, wengi wakiwa wanawake na watoto, katika wiki moja katika mji uliozingirwa wa El-Fasher nchini Sudan, afisa wa afya alisema Jumapili.
11 Agosti 2025
Njaa na magonjwa yanaenea nchini Sudan - shirika la Umoja wa Mataifa
Shirika la Afya Duniani limesema kuwa maisha mengi zaidi yako katika hatari bila ya hatua za dharura, ikijumuisha kuimarisha upatikanaji wa matibabu.
9 Agosti 2025