Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Afrika Kusini yashirikisha vikosi vya usalama kukabiliana na magenge
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa jeshi litashirikiana na polisi ili kupambana na viwango vya juu vya uhalifu wa magenge nchini humo. Katika hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa, Ramaphosa alieleza kuwa karibu watu 60 wanauawa kila siku, hususan kutokana na vita vya magenge ya dawa za kulevya mjini Cape Town na ufyatulianaji risasi unaohusiana na uchimbaji haramu wa madini jijini Johannesburg.
Ameagiza wakuu wa polisi na jeshi kuandaa mpangokazi wa kupeleka vikosi vya usalama katika mikoa ya Western Cape na Gauteng ndani ya siku chache zijazo. Hatua nyingine ni pamoja na kuajiri maafisa wapya wa polisi 5,500 na kuimarisha ukusanyaji wa taarifa za kijasusi ili kutambua makundi ya uhalifu.
Ramaphosa alisisitiza kuwa uhalifu wa magenge ni tishio kubwa kwa demokrasia, jamii na uchumi wa taifa, akiongeza kuwa athari zake hupimwa kwa maisha yanayopotea, hofu inayotanda katika jamii na kusitasita kwa wawekezaji kuwekeza nchini.
CHANZO: Newstimehub
Comments
No comments Yet
Afrika
Afrika Kusini kupeleka jeshi katika kukabiliana na magenge ya uhalifu
- 13 February 2026
- 5 Views
Makubaliano ya DRC na M23 yaimarisha mchakato wa amani
- 13 February 2026
- 3 Views
Wataka uwajibikaji kwa familia zilizoathirika migodini
- 13 February 2026
- 10 Views
Wasioendeleza ardhi kwa miaka mitatu Tanzania kunyang'anywa na serikali
- 13 February 2026
- 10 Views
Latest News
Trump amlaumu rais wa Israel kwa kutotoa msamaha kwa Netanyahu
- 13 February 2026
- 3 Views
Afrika Kusini kupeleka jeshi katika kukabiliana na magenge ya uhalifu
- 13 February 2026
- 5 Views
Makubaliano ya DRC na M23 yaimarisha mchakato wa amani
- 13 February 2026
- 3 Views
African Union welcomes DRC ceasefire mechanism
- 13 February 2026
- 4 Views
Comment