Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Rais wa Marekani amesema ni 'aibu' kwa Herzog kwa kutotoa msamaha, huku ofisi ya rais wa Israel ikisema ombi hilo linafanyiwa tathmini.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu sharti apate msamaha katika kesi yake ya ufisadi, na kusema kuwa Rais wa Israel Isaac Herzog sharti aone "aibu" kwa kutotoa msamaha.
Akizungumza katika ikulu ya White House Alhamisi, Trump amesema Netanyahu amekuwa "waziri mkuu bora katika kipindi cha vita" na kwamba raia wa Israel sharti wamdhalilishe Herzog kwa kutotoa msamaha.
"Anatia aibu kwa kutotoa. Sharti atoe," Trump alisema.
Netanyahu alikutana na Trump mjini Washington Jumatano kwa ajili ya mazungumzo kuhusu mpango wa nuklia wa Iran.
Huu ni mkutano wa saba kati yao tangu Trump kuingia madarakani.
Rais akana madai
Netanyahu ni Waziri Mkuu wa kwanza ambae yuko madarakani kushtakiwa.
Trump amemtaka Herzog mara kadhaa kumsamehe Netanyahu na alisema mwezi Disemba kwamba ameambiwa na Herzog kwamba msamaha huo utafanyika punde.
Hata hivyo, ofisi ya Herzog ilikana taarifa hizo.
Katika kujibu kauli ya hivi karibuni ya Trump, ofisi ya rais wa Israel imesema ombi hilo linafanyiwa tathmini na litazingatiwa bila ushawishi kutoka nje wala ndani.
Kwa mujibu wa Sheria ya Israel, ni rais peke ndio mwenye mamlaka ya kutoa msamaha.
Hata hivyo, hakuna msamaha uliotolewa wakati kesi inaendelea.
Comments
No comments Yet
Ulimwengu
Kim Jong Un wa Korea Kaskazini amuandaa binti yake kuwa mrithi wa kiti cha urais
- 12 February 2026
- 11 Views
Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya muda mfupi baada ya mazungumzo kukamilika nchini Oman
- 07 February 2026
- 24 Views
Trump atafuta makubaliano na Iran katikati ya mvutano wa kijeshi
- 02 February 2026
- 26 Views
Trump atishia kumshtaki Trevor Noah baada ya utani wa Grammys
- 02 February 2026
- 28 Views
Latest News
RDC : l'Union Africaine accueille favorablement le mécanisme de cessez-le-feu
- 13 February 2026
- 4 Views
INEC Ta Fitar da Jadawalin Zaɓukan 2027
- 13 February 2026
- 3 Views
Makubaliano ya DRC na M23 yaimarisha mchakato wa amani
- 13 February 2026
- 5 Views
Ramaphosa aagiza jeshi kushirikiana na polisi
- 13 February 2026
- 5 Views
Comment