Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Wametaka kuwepo kwa kanuni madhubuti, ufuatiliaji huru na uwajibikaji zaidi kutoka kwa makampuni ya madini na serikali zinazotoa leseni.
Wanaharakati wa mazingira chini ya bendera yao ya 'Indaba Mbadala ya Madini' waliandamana nje ya mkutano mkuu wa madini maarufu Indaba ya Madini huko Cape Town nchini Afrika Kusini.
Maandamano hayo yalifanyika Februari 11, 2026, ambapo wamezitaka serikali na makampuni ya uchimbaji madini kuchukua hatua zaidi ili kulinda jamii zilizoathirika na uchimbaji wa madini.

Kundi hilo lilisema kuwa mkutano huo wa kila mwaka wa wadau wa madini na wawekezaji unaendelea kupuuza hasara za kimazingira na jamii zinazoathiriwa na shughuli zao kote barani Afrika.
Wakati huo huo, walitaka kuwepo kwa kanuni madhubuti, ufuatiliaji huru na uwajibikaji zaidi kutoka kwa makampuni ya madini na serikali zinazotoa leseni.
Indaba ya Madini ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya sekta ya madini barani Afrika, inayovutia wawekezaji wa kimataifa, wakati Indaba Mbadala ya Madini inajiweka kama jukwaa linalowakilisha sauti za wananchi.
Comments
No comments Yet
Afrika
Wasioendeleza ardhi kwa miaka mitatu Tanzania kunyang'anywa na serikali
- 13 February 2026
- 9 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Nchemba ataka mikakati ya kulinda viwanda vya ndani
- 13 February 2026
- 12 Views
Takriban watu tisa wafariki baada ya kimbunga Gezani kupiga Madagascar
- 12 February 2026
- 11 Views
Wanajeshi wa Marekani kutoa mafunzo ya kupambana na ugaidi kwa vikosi vya Nigeria
- 12 February 2026
- 12 Views
Latest News
Tripoli accorde les premières licences pétrolières étrangères post-Kadhafi
- 13 February 2026
- 1 Views
- 13 February 2026
- 1 Views
Wasioendeleza ardhi kwa miaka mitatu Tanzania kunyang'anywa na serikali
- 13 February 2026
- 9 Views
Le Nigeria enquête sur l'explosion en vol du moteur d'un avion de la compagnie Arik
- 13 February 2026
- 13 Views
Comment