Maadhimisho hayo yaanza Oktoba 1 hadi 7, ambapo nchi hiyo imetenga wiki nzima kuwa siku za mapumziko.
Taisa la China, linaadhimisha miaka 77 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.
Maelfu ya watu, walijaza viwanja vya Tian'anmen, na kuibua shangwe nchi nzima, kusherehekea siku hiyo muhimu katika historia ya taifa hilo, shirika la habari la nchi hiyo Xinhua, lilisema.
Maadhimisho hayo yaanza Oktoba 1 hadi 7, ambapo nchi hiyo imetenga wiki nzima kuwa siku za mapumziko.