Dollar

41,2965

0.15 %

Euro

48,9194

-0.15 %

Gram Gold

4.868,1100

-0.5 %

Quarter Gold

0,0000

%

Silver

0,0000

%

Mkopo huo ni kwa ajili ya kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini.

Uganda kukopa zaidi ya dola milioni 350 kuendesha miradi yake

Uganda inapanga kukopa dola milioni 358 kutoka kwa wakopeshaji wa kikanda na binafsi kufadhili miradi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuunganisha gridi ya umeme na taifa jirani la Sudan Kusini.

Taarifa hii ni kulingana na afisa wa Wizara ya Fedha.

Mikopo hiyo itatolewa kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Afrika, tawi la Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika, na Benki ya Standard Chartered, itafungua ukurasa mpya, Waziri mdogo wa Fedha, Henry Musasizi, alisema wakati akiwasilisha mpango huo bungeni Jumanne.

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#