Dollar

41,2952

0.14 %

Euro

48,9379

-0.11 %

Gram Gold

4.870,8100

-0.45 %

Quarter Gold

0,0000

%

Silver

0,0000

%

Kulingana na jeshi la Taifa la Rwanda, UAV hiyo ilikuwa sehemu katika mazoezi ya kawaida

Ndege isiyokuwa na rubani yawajeruhi wanafunzi nchini Rwanda

Wanafunzi watatu walijeruhiwa Jumanne, Septemba 16, wakati ndege dogo isiyokuwa na rubani (UAV) ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) ilipoanguka katika Wilaya ya Rutsiro, nchini Rwanda. Hii imethibitishwa na RDF katika taarifa yake.

Kulingana na RDF, UAV ilikuwa katika mazoezi ya kawaida lakini ilibadilishwa na hali mbaya ya hewa na kuanguka majira ya saa saba na dakika arobaini siku ya Jumanne.

Wanafunzi wawili kati ya hao walipelekwa katika Kituo cha Afya cha Kivumu kwa ajili ya matibabu, huku wa tatu akihamishiwa katika Hospitali ya Murunda kwa matibabu zaidi.

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#