Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Hata hivyo, hapakuwa na taarifa yoyote kuhusu jambo hilo kutoka kambi ya AFC/M23.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekubaliana na pendekezo la Angola la kumaliza mapigano yake na kikundi cha waasi wa M23.
Hayo yanajiri kufuatia kikao cha hivi karibuni kilichoketi jijini Luanda, baina ya Rais wa DRC Felix Tshisekedi, Joao Lourenco wa Angola na Faure Gnassingbe wa Togo.
Wengine walioshiriki kikao hicho ni pamoja na rais wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, ambaye ni mmoja ya wawezeshaji wa mchakato wa upatikanaji amani nchini DRC.
Hata hivyo, hapakuwa na taarifa yoyote kuhusu jambo hilo kutoka kambi ya AFC/M23.
Tangu Januari 27 mapigano yanaendelea katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini huku waasi wa M23 wakiteka maeneo, na kulazimisha raia kuhamia kwenye kambi za wakimbizi wa ndani.
Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa iliyosambazwa kabla ya kikao inalaani msaada wa kijeshi wa Rwanda kwa M23 na inazitaka pande zote kusitisha uhasama na kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika kwa waathiriwa.
Comments
No comments Yet
Afrika
Motsepe: AFCON 2027 itafanyika Afrika Mashariki na si kwingineko
- 14 February 2026
- 3 Views
Waziri wa Elimu wa Ghana apatwa na ajali barabarani
- 13 February 2026
- 7 Views
Makubaliano ya DRC na M23 yaimarisha mchakato wa amani
- 13 February 2026
- 8 Views
Ramaphosa aagiza jeshi kushirikiana na polisi
- 13 February 2026
- 8 Views
Latest News
Motsepe: AFCON 2027 itafanyika Afrika Mashariki na si kwingineko
- 14 February 2026
- 3 Views
Ukraine yapokea shehena ya droni za kivita kutoka Ujerumani
- 13 February 2026
- 6 Views
'Rashin sake wa hukumomin gwamnatin Nijeriya kuɗaɗen kasafi koma-baya ne ga ci gaban ƙasa'
- 13 February 2026
- 5 Views
Waziri wa Elimu wa Ghana apatwa na ajali barabarani
- 13 February 2026
- 7 Views
Comment