Dollar

41,3302

-0.08 %

Euro

48,5915

0.02 %

Gram Gold

4.836,4000

-0.19 %

Quarter Gold

0,0000

%

Silver

0,0000

%

Waamuzi watatu wakuu wamechaguliwa kutoka Afrika kwa ajili ya mashindano hayo huku Artan akiungana na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria.

Omar Artan aweka historia ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa Somalia kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA

Omar Abdulkadir Artan ameweka historia kwa kuwa mwamuzi wa kwanza wa Kisomali kuchaguliwa kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA.

Yeye ni miongoni mwa waamuzi watatu wa kati waliochaguliwa kutoka Afrika na mwakilishi pekee kutoka Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara atakayehudumu katika Kombe la Dunia la FIFA U-20 mwaka 2025.

Mashindano hayo ya kimataifa ya soka yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 27 Septemba hadi 19 Oktoba nchini Chile.

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#