Uturuki yataka kuimarisha ushirikiano na kupunguza mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu: Erdogan
Rais Erdogan, amesema Uturuki inajitahidi kuimarisha umoja katika ulimwengu wa Kiislamu, huku akionya kwamba serikali ya Israel “inayopenda vita” inachangia kuyumbisha hali ya eneo hilo.
28 Agosti 2026
Rais Erdogan ajadili amani ya kikanda na viongozi wa Rwanda na DRC
Rais wa Uturuki Erdogan amepongeza juhudi za kupunguza mivutano kati ya Rwanda na DRC na kusisitiza tena uungaji mkono wa Uturuki kwa mchakato huo.
27 Agosti 2026
Wanaolenga kuyumbisha eneo letu watashindwa: Rais Erdogan wa Uturuki
Utu na udugu vitashinda, pamoja na taifa la Uturuki na raia wake, amesema Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
25 Agosti 2026
Trump afurahishwa na mkataba wa ulinzi wa Makkah uliosainiwa na Uturuki, Pakistan na Saudi Arabia
Rais wa Marekani amepongeza makubaliano hayo muhimu kama hatua kubwa ya kwanza kuelekea ushirikiano mkubwa zaidi wa kikanda na ulinzi imara wa pamoja katika Mashariki ya Kati, huku akiwapongeza viongozi wa nchi hizo tatu
17 Agosti 2026
Uturuki yataka Tunisia kumuachia kiongozi wa chama cha Ennahda
Spika wa Bunge la Uturuki, Numan Kurtulmus, amesema Rached Ghannouchi anahitaji matibabu kufuatia umri wake na hali yake ya afya.
13 Agosti 2026
Mkataba wa Makkah unakaribisha mataifa mengine rafiki: Erdogan wa Uturuki
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kuwa Mkataba wa Makkah wa Ulinzi wa Pamoja utaimarisha ushirikiano katika masuala ya usalama na ulinzi, miradi ya pamoja ya sekta ya ulinzi, pamoja na juhudi za kupambana na
7 Agosti 2026
Nchi 20 za Kiislamu zajadili hatua za pamoja dhidi ya ukiukaji wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, amesisitiza nafasi ya kihistoria na kisheria ya Jordan kama mlinzi na msimamizi wa maeneo matakatifu yaliyoko katika Jerusalem Mashariki inayokaliwa.
5 Agosti 2026
Trump apuuza pingamizi la Netanyahu kuhusu uuzaji wa ndege za kivita za F-35 kwa Uturuki
Rais wa Marekani Trump anaielezea Uturuki kama mshirika mkuu, anamtaja Rais wa Uturuki Erdogan kuwa rafiki, na kusema hakuna anayeweza kuamrisha kile ambacho Marekani inapaswa au isipaswe kuuza.
28 Julai 2026
Mfalme Charles III wa Uingereza atembelea Msikiti wa Cambridge uliojengwa kwa msaada wa Uturuki
Mfalme Charles amekutana na wadhamini wa msikiti, maimamu na wanajamii wakati wa ziara hiyo, akitilia mkazo mchango wa Waislamu wa Cambridge na jamii ya Waturuki.
21 Julai 2026
"Matamshi ya upande mmoja": Uturuki yaikosoa tathmini ya EU kwa kukosa usawa na maono ya kimkakati
Mkuu wa Mawasiliano wa Uturuki amesema kuwa waraka huo unapuuza nafasi muhimu isiyoweza kubadilishwa ya nchi hiyo katika usalama wa Euro-Atlantiki, nafasi ambayo ilithibitishwa wazi wakati wa mkutano wa NATO uliofanyika
17 Julai 2026
Urusi yaishukuru Uturuki kwa utayari wake wa kusadidia mchakato wa amani Ukraine
Msemaji wa Kremlin amesema migogoro mingi ni "tata sana", na kujaribu kuisuluhisha kupitia "makubaliano" kunaweza kuwa jambo "lisilowezekana."
16 Julai 2026
Mchakato wa kuirudisha Uturuki kwenye mradi F-35 ni wakiridhisha, asema Seneta Turner
Kulingana na Turner, wawakilisha waliohudhuria mazungumzo hayo, wameonesha matumaini ya hatua zinazoendelea, japo hakuwa tayari kuweka wazi kilichojadiliwa kati ya maofisa wa Uturuki na wabunge wa Marekani.
16 Julai 2026
Uturuki yalaani shambulio la kombora la Wahouthi dhidi ya Saudi Arabia
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imethibitisha mshikamano wake na Saudi Arabia huku ikizitaka pande zote kujiepusha na hatua zinazoweza kuongeza mvutano katika eneo hilo.
14 Julai 2026
Kuunga mkono Uturuki kufuatia jaribio la mapinduzi ilikuwa muhimu : Waziri wa zamani wa Uingereza
Waziri wa zamani wa Uingereza, Sir Alan Duncan, amesema ziara yake ya Uturuki mwaka 2016, baada ya jaribio la mapinduzi lililofeli, ilikuwa na lengo la kuonesha mshikamano na serikali halali iliyochaguliwa na taasisi za
14 Julai 2026
Uturuki na Misri zatia saini makubaliano ya kuweka msingi wa ushirikiano katika sekta ya ulinzi
Makubaliano hayo yanaweka mfumo wa ushirikiano mpya kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya ulinzi, amesema Katibu Mkuu wa Viwanda vya Ulinzi, Görgün.
13 Julai 2026
Uturuki inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 31 ya mauaji ya halaiki ya Srebrenica
Duran anawaenzi zaidi ya waathiriwa 8,000 wa Kibosnia, akisisitiza tena ahadi ya Uturuki ya kuwaunga mkono wanaokandamizwa kote duniani.
11 Julai 2026
Somalia yapongeza upatanishi wa Uturuki baada ya upinzani kukubali mazungumzo ya katiba
Serikali ya Somalia imeipongeza Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki kwa juhudi zake za kufanikisha mazungumzo kuhusu Katiba na mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo.
9 Julai 2026
Rais wa Marekani Donald Trump Awasili Ankara Kabla ya Mkutano wa NATO
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili mjini Ankara kwa ziara rasmi nchini Uturuki kabla ya Mkutano wa NATO. Ndege iliyombeba ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Ankara saa 7:50 mchana kwa saa za ndani, ambapo alipokelewa
7 Julai 2026
Usalama wa Ulaya hauwezi kufungiwa ndani ya EU, asema Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan
Fidan anasema Uturuki ina jukumu muhimu katika usalama wa Ulaya na anahimiza ushirikiano mpana zaidi wa ulinzi wa NATO unaovuka mipaka ya Umoja wa Ulaya.
7 Julai 2026
Rais wa Uturuki Erdogan amempokea Waziri Mkuu wa Pakistan Sharif mjini Istanbul
Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Uturuki na Pakistan unatarajiwa kukutana kufuatia mazungumzo ya pande mbili.
4 Julai 2026
Erdogan na Meloni wajadili kuimarisha ushirikiano wa ulinzi kabla ya mkutano wa NATO jijini Ankara
Rais wa Uturuki amesema nchi yake inalenga kuimarisha ushirikiano na Italia, hususan katika sekta ya ulinzi, kabla ya mkutano wa viongozi wa NATO utakaofanyika nchini jijini Ankara, Uturuki.
3 Julai 2026
Uturuki yakanusha taarifa za kupotosha kuhusu tishio la shambulio wakati wa mkutano wa NATO
Mamlaka zimesema kuwa hatua zote muhimu za usalama zinaendelea kutekelezwa na zimetoa wito kwa wananchi kufuatili taarifa rasmi pekee.
3 Julai 2026
Rais Erdogan aishutumu Israel kwa tuhuma za uongo dhidi ya Uturuki
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema historia ya Uturuki inajumuisha sifa ya kuwapa hifadhi watu waliokimbia mateso ya Wanazi.
30 Juni 2026
Uturuki ni muhimu kwa NATO na usalama wa kikanda: Kallas wa EU
Mkuu wa sera ya mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya (EU), Kaja Kallas, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja ndani ya NATO, ushirikiano wa karibu zaidi katika masuala ya ulinzi, na ushirikiano wa karibu na Uturuki kabla ya mku
29 Juni 2026