Tanzania yashuka viwango vya ubora vya FIFA, Uganda yapanda
Kulingana na orodha hiyo iliyotolewa Septemba 18, 2025, Hispania imechupa hadi nafasi ya kwanza ikitokea ya pili, huku Argentina ikiporomoka hadi nafasi ya tatu kutokea ya pili.
Kulingana na orodha hiyo iliyotolewa Septemba 18, 2025, Hispania imechupa hadi nafasi ya kwanza ikitokea ya pili, huku Argentina ikiporomoka hadi nafasi ya tatu kutokea ya pili.
Waamuzi watatu wakuu wamechaguliwa kutoka Afrika kwa ajili ya mashindano hayo huku Artan akiungana na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria.
Nigeria wanatazamiwa kucheza mchezo wao Jumamosi dhidi ya Rwanda huku mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia zikiendelea.
Kadi ya saini mbili, za Jordan na Kobe inakuwa kadi ya michezo inayouzwa gharama kubwa zaidi duniani.
Katika harambee iliyofanyika Agosti 12 jijini Dar es Salaam, klabu ya Young Africans ilitoa kiasi cha milioni 100 kuisadia CCM katika kampeni zake, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Huku pande zote mbili zikicheza mechi yao ya nne ya CHAN na Nigeria na Sudan zikisubiri katika mbawa, mkutano huu wa kwanza kabisa kati ya Senegal na Congo unaahidi kuchagiza hatima ya kundi hilo.
Rais wa Kenya William Ruto amewaahidi wachezaji wa timu ya taifa Harambee Stars mamilioni ya pesa kila mmoja kwa kila mechi watakayoshinda.
Michuano hiyo, ambayo ni maalumu kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za ndani, inaandaliwa kwa pamoja na Tanzania, Kenya na Uganda.
FIFA inasema wawakilishi wa wachezaji na bodi inayosimamia mchezo wamefikia makubaliano juu ya hitaji la mapumziko ya saa 72 kati ya mechi, na angalau siku 21 za likizo mwishoni mwa kila msimu.
Timu ya walemavu ya Alves Kablo imetwaa ubingwa huo baada ya kuibugiza Wisla Krakow ya Poland kwa jumla ya mabao 6-1, katika mchezo wa fainali uliofanyika jijini Ankara.
Wakati wa sherehe kote nchini, raia 192, polisi 22 na wazima moto saba pia walijeruhiwa.
Mohamed Salah anakuwa mchezaji wa tano kushinda mara mbili baada ya Thierry Henry, Cristiano Ronaldo, Nemanja Vidic na Kevin De Bruyne.
Mcroatia huyo ameichezea Real Madrid jumla ya mechi 600 toka alipojiunga nao mwaka 2012, akitokea Tottenham ya Uingereza.
Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Aleksander Čeferin alionekana kushangazwa wakati medali zilipoisha kabla wachezaji wote wa Tottenham kupata baada ya ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Manchester United.
Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.
Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.
Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.
Galatasaray sasa wataongeza nyota tano kwenye jezi zao, kila nyota moja inawakilisha mataji matano.
Mohamed Salah amepata tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 28 na kutoa 'assists' 18 kwa timu yake ya Liverpool katika Ligi Kuu ya England msimu huu.
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka duniani FIFA imeipata na makosa timu ya Kenya Muhoroni Youth kwa "kuhusika na vitendo vya kupanga matokeo ya mechi".
Barcelona imemmwagia sifa mchezaji Lamine Yamal baada ya mchezo mzuri licha ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 kukataa kufananishwa na mchezaji bora Lionel Messi.
Rais wa Uturuki ameeleza sifa za taifa lake katika suala la michezo duniani wakati wa hafla ya maandalizi ya mechi za Euro 2032.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alipelekwa hospitali kabla ya mechi na mchezo ukasimamisha baada ya kipindi cha kwanza walipopewa taarifa kuwa amefariki.
Wachezaji hao wameadhibiwa kutokana na ishara zao walizozionesha wakati wa kushangilia kwenye mchezo wao dhidi ya Atletico Madrid katika hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.