Ushiriki wa Iran Kombe la Dunia Watia Shaka Bila Dhamana za FIFA
Iran inasema ushiriki wake katika Kombe la Dunia utategemea majibu ya FIFA kuhusu ombi la kubadili uwanja wa mechi.
Iran inasema ushiriki wake katika Kombe la Dunia utategemea majibu ya FIFA kuhusu ombi la kubadili uwanja wa mechi.
Upanuzi wa Kombe la Dunia umeiwezesha Afrika kuwa na timu 10 zitakazoshiriki mwaka 2026.
Ghana imeachana na kocha mkuu Otto Addo miezi michache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia.
Kombe la Dunia la 2026 litakuwa na mfumo mpya wa mashindano na timu nyingi zaidi.
Serikali ya Australia imewapa hifadhi ya kisiasa wachezaji saba wa timu ya wanawake ya Iran baada ya tukio la Kombe la Asia.
Jean-Guy Blaise Mayolas amepatikana na hatia ya kutumia vibaya dola milioni 1.3 za ruzuku ya FIFA zilizotolewa wakati wa janga la COVID-19.
Soka la Kenya limepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa kocha wa timu ya taifa, Engin Firat.
Aeleza kuwa adhabu imeongeza chuki badala ya suluhu.
Kulingana na orodha hiyo ya ubora ya FIFA, Tanzania imevuna jumla ya alama 1186.14 kutoka alama 1181.22, ilizokuwa nazo awali.
Thiaw anatuhumiwa kwa kuwashawishi wachezaji wake kutoka uwanjani muda mfupi baada ya mwamuzi wa mchezo wao, Jean-Jacques Ndala kuizawadia Morocco penati iliyoghubikwa na utata.
Maafisa wa Zambia wanatarajia kutatua tatizo hilo kwa kubadilisha cheo cha kocha mkuu na kuwa kocha msaidizi anapokidhi masharti ya kustahiki nafasi hiyo.
Inarajiwia kuwa na maandamano yanayohusiana na LGBT katika mchezo wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 kati ya Iran na Misri nchini Marekani.
Zaha, mwenye umri wa miaka 33, ambaye kwa sasa anachezea timu ya Charlotte, inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani, alikuwa sehemu ya kikosi cha wachezaji 26 ambacho kitakabaliana Msumbiji, Cameroon na Gabon kwenye Kun
Andre Onana, ambaye yuko katika timu ya Trabzonspor kwa mkopo kutoka Manchester United, hakutajwa miongoni mwa makipa wanne katika kikosi cha wachezaji 28.
Mshindi atatangazwa Novemba 19 mjini Rabat Morocco, ikiwa ni pamoa na washindi wengine wa vitengo tofauti
Ligi Kuu ya England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumziko kwa ajili ya kucheza mechi za kimataifa.
Kufikia sasa timu tisa kutoka bara la Afrika zimethibitishwa kwa Kombe la Dunia 2026. Cote d’Ivoire na Senegal zimekuwa timu za mwisho kukamilisha idadi hiyo.
Afrika Kusini imekuwa taifa la hivi karibuni kutoka Afrika kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 baada ya kuichapa Rwanda mabao 3-0 siku ya Jumanne na kuongoza kundi C.
Cape Verde iliichapa Eswatini mabao 3-0 siku ya Jumatatu na kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, hatua inayoiwezesha kushiriki mashindano hayo ya kimataifa kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya taifa hilo.
Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kutoka Afrika kupata nafasi hiyo kwa mashindano yatakayofanyika Marekani Kaskazini mwakani, baada ya kuwafunga Somalia 3-0.
Zimbabwe imeungana na Namibia katika kufuzu Kombe la Dunia T20 kwa wanaume baada ya kuifunga Kenya kwenye nusu fainali ya pili kwa Afrika mjini Harare. Nchi ya tatu kufuzu ni Afrika Kusini, ambao walipata tiketi ya moja
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Collen Kebinatshipi, ambaye pia alishinda mbio za mita 400, alikimbia vizuri katika mkondo wa mwisho na kujinyakulia medali ya dhahabu wakati Botswana ikiishinda Marekani na Afrika Kusini katika mbio za kusisimua.