Dereva amgonga mbunge wa Australia, amwacha mahututi
Helen Haines, anadaiwa kuwa katika hali mahututi katika hospitali ya Alfred iliyoko Melbourne, ambako madaktari wanaendelea kupambania uhai wake.
Helen Haines, anadaiwa kuwa katika hali mahututi katika hospitali ya Alfred iliyoko Melbourne, ambako madaktari wanaendelea kupambania uhai wake.
Mkutano huo katika Kambi ya Kijeshi ya Ovda unajiri wakati kukiwa na uwezekano wa mazungumzo kuhusu kuanza tena mashambulizi dhidi ya Iran.
Kilichoanza na wanafunzi wanaoandamana kupinga mazingira duni ya shule, uhaba wa walimu, na kupanda kwa gharama za elimu, kimegeuka kuwa vuguvugu pana zaidi dhidi ya gharama za maisha
Rais huyo wa zamani wa Cuba anatuhumiwa kwa kupanga njama ya kuwaua watu 4 waliokuwa kwenye ndege 2 za kiraia, huku nyaraka za mahakamani zikidai kuwa majasusi wa Cuba walitoa taarifa za safari kabla ya ajali ya ndege ku
Waandamanaji wanaodai hatua zichukuliwe dhidi ya ufisadi, hali katika vyuo vikuu, na ada za masomo wanakabiliwa na mabomu ya kutoa machozi pamoja na maji yenye nguvu
Mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na wapiganai wa kundi la Houthi dhidi ya Ikulu ya Al-Maashiq, iliyoko mji wa Aden, yamesababisha vifo vya watu watano na kuwajeruhi wengine 16, kwa mujibu wa Waziri wa Afya wa Yemen
Tukio hilo limetokea wakati mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani yanayofanywa na wapiganahi wa Houthi dhidi ya Saudi Arabia yakiongezeka.
Shambulizi hilo, linakuja baada ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kuliambia gazeti la Uingereza la Financial Times, kuwa nchi yake inalenga kushambulia mitambo na viwanda vya Urusi.
Kanuni hiyo, ambayo ilipitishwa siku ya Alhamisi, itahusisha stesheni za treni zilizopo katika maeneo ya umma, huku katazo hilo, halitohusu hoteli na abiria ambao watapanda na pombe kwenye treni.
Matumizi ya bomu hilo yanaweza kuashiria ongezeko kubwa la mashambulizi katika mzozo kati ya Marekani na Iran.
Wakipongeza nafasi ya diplomasia ya Pakistan katika vita vya Marekani kwa Iran, Oman inasisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano wao wa muda mrefu kati ya mataifa hayo mawili.
Tahadhari hiyo imetolewa wakati viongozi, maafisa na wataalamu mbalimbali wakikutana katika mji mkuu wa Thailand kujadili changamoto zinazoikabili dunia kiuchumi.
Boti ilipinduka usiku wa kuamkia Jumanne katika wilaya ya Vaishali mashariki mwa jimbo la Bihar, huku wakazi wakiwahi kuwaokoa waliokuwa katika boti hiyo kwa kutumia taa za simu kumulika majini.
Msemaji wa muungano huo anasema raia wametakiwa kuondoka ili waweze kufanya "mashambulizi mahsusi".
Mkataba huo, unafuatia ule wa Juni 2024, uliosainiwa kati ya Rais Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini, kuhusu ushirikiano wa kijeshi, iwapo moja ya nchi hizo zitavamiwa.
Rais wa Marekani amesema nchi hizo mbili zitapata hasara iwapo zitatoa msaada huo, na kuwa Marekani ingebaini haraka sana endapo China na Urusi zingekuwa zikiiis
Kwa kuwa alizaliwa na ulemavu wa cerebral palsy, Mitte alitumia uzoefu wake binafsi kuigiza uhusika huo, jambo lililosaidia kuongeza muonekano na utambuzi wa watu wenye ulemavu katika vyombo vikuu vya habari na televishe
Hii ni baada ya kubainika kuwa, rubani wa ndege hiyo alikuwa ni raia wa Indonesia.
Shambulio hilo linafuatia wimbi la mashambulizi yanayofanywa na kundi la Wahouthi katika viwanja vya ndege nchini Saudi Arabia. Mji wa Riyadh umelengwa mara mbili ndani ya saa 48. Shambulio la awali likiripotiwa kuua wat
Raia wanne wa Saudi Arabia, wawili wa Bangladesh, na wengine kutoka Marekani, Misri, Jordan, Syria, Palestina, na Sudan waliuawa katika shambulio hilo, kulingana na mamlaka ya usafiri wa anga ya Saudi Arabia.
Pillay alijitolea katika kutetea haki za watu wanaokandamizwa nchini Afrika Kusini na kote duniani, wakiwemo Wapalestina, inasema Wizara ya Mambo ya Nje.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia, Gedion Timothewos, alitoa wito huo wakati wa mkutano wake na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Amina J. Mohammed.
Jeshi la Marekani limeagizwa kujiandaa kwa uwezekano wa mashambulizi dhidi ya Iran katika wakati wowote, huku Rais Donald Trump akitathmini muda mwafaka wa kuchukua hatua hiyo, kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo kadhaa
Shiranthi, ambaye ni mke wa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Mahinda Rajapaksa, alifikishwa mbele ya mahakama ya jijini Colombo, akidaiwa kujipatia Dola za Kimarekani 30, 250 kutoka benki moja.