Sport
Dollar
38,5649
0.3 %Euro
43,6650
0.2 %Gram Gold
4.033,8300
0.74 %Quarter Gold
0,0000
%Silver
0,0000
%Jumla ya wapandaji 50,000 hukwea mlima huo kila mwaka, huku ukivutia watumiaji wa mitandao zaidi ya milioni 5.5 kila mwaka.
Mlima Kilimanjaro umeshika nafasi ya pili katika kipengele cha maeneo yenye kuvutia zaidi kwa picha duniani, kulingana na utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na taasisi ya Heepsy.
Mlima huo, ambao unapatikana nchini Tanzania, umeshika nafasi ya pili nyuma ya jengo la Burj Khalifa la Dubai na pia kuushinda mnara wa Eiffel unaopatikana nchini Ufaransa.
Jumla ya wapandaji 50,000 hukwea mlima huo kila mwaka, huku ukivutia watumiaji wa mitandao zaidi ya milioni 5.5 kila mwaka.
Nafasi ya nne imechukuliwa na mnara wa saa wa jijini London, maarufu kama ‘Big Ben’, wakati visiwa vya Galápagos vya nchini Ecuador vikiwa katika nafasi ya tano.
Comments
No comments Yet
Comment