Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Mvua hizo zimemaliza hali ya miaka saba ya kiangazi.
Mamlaka nchini Morocco zimeanza kuandaa mpango wa kurejesha pole pole wakazi wa mji wa Ksar El Kebir na maeneo mengine ya kaskazini magharibi ambapo hali ya hewa imeimarika, shirika la habari la serikali limesema siku ya Jumatatu.
Mamlaka zikisaidiwa na jeshi zimefanikiwa kurudisha watu 188,000 tangu mwanzoni mwa mwezi Februari, ili kuwalinda kutokana na mito iliopasua kingo zake na kusomba ekari 110,000 kaskazini magharibi.
Wakazi wengi wa Ksar El Kebir, kilomita 213 kaskazini mwa mji wa Rabat, sasa wameruhusiwa kurudi katika nyumba zao, isipokuwa wale wa mitaa michache, wizara ya mambo ya ndani ilisema Jumatatu.
Kuimarisha miundombinu
Morocco ina mpango wa kutumia dirham bilioni 3 (dola milioni $330) kuimarisha miundombinu na kuwasaidia wakazi wa maeneo yaliyokumbwa na mafuriko, wakulima, na wamiliki wa maduka katika maeneo ya mafuriko, ofisi ya waziri mkuu ilisema wiki iliopita.
Bwawa na Oued Makhazine, ambalo limefika uwezo wa asilimia ya 160, limelazimika kufungulia maji baada ya kufurika, kutokana na maji kujaa kwenye mto Loukous.
Mvua katika msimu huu wa baridi ilikuwa kwa kiwango cha asilimia 35 ikiwa ni zaidi ya wastani uliotarajiwa tangu miaka 90 na mara tatu zaidi kuliko mwaka uliopita, twkwimu rasmi zimeonesha.
Comments
No comments Yet
Afrika
Somalia na Tanzania yakubaliana kuhusu ziara bila viza, na kupata viza mtu anapowasili
- 16 February 2026
- 1 Views
RSF yashambulia hospitali Sudan, na kuwaua watu kadhaa
- 16 February 2026
- 7 Views
Viongozi wa Umoja wa Afrika Wapitisha Azimio Kuhusu Utumwa na Ukoloni
- 16 February 2026
- 13 Views
DR Congo yakana kutoa rasilimali zake za madini katika makubaliano ya amani ya Trump
- 15 February 2026
- 10 Views
Latest News
Somalia na Tanzania yakubaliana kuhusu ziara bila viza, na kupata viza mtu anapowasili
- 16 February 2026
- 1 Views
Somalia and Tanzania agree on visa-free travel to boost business and tourism
- 16 February 2026
- 2 Views
RSF yashambulia hospitali Sudan, na kuwaua watu kadhaa
- 16 February 2026
- 7 Views
RSF strike hits Sudan hospital, kills multiple people
- 16 February 2026
- 11 Views
Comment