Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Mkutano wa siku mbili Addis Ababa watangaza utumwa na ukoloni kuwa mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya Waafrika.
Viongozi wa umoja wa Afrilka waliokutana katika mkutano wa siku mbili jijini Addis Ababa wamepitisha azimio linalotambua utumwa, uhamisho wa kulazimishwa na ukoloni kama mauaji ya kimbari pamoja na uhalifu dhidi ya watu wa Afrika.
Katika hotuba yake, Mwenyekiti Mahmoud Ali Youssouf alisisitiza pia haja ya kusitishwa kwa kile alichokiita kuangamizwa kwa watu wa Palestina, akieleza mshikamano wa bara la Afrika na taifa hilo.
Kwa mujibu wa tamko la mkutano huo, wakuu wa nchi na serikali walikubaliana kuitambua tarehe 30 Novemba kama Siku ya Afrika ya Kuwakumbuka Mashujaa na Waathiriwa wa Biashara ya Watumwa ya Atlantiki, Ukoloni na Ubaguzi wa Rangi (Apartheid).
Aidha, nchi wanachama zilisema zitaendelea kufuatilia suala hilo na kushirikiana ili kuhakikisha azimio hilo linapata utambuzi katika ngazi ya kimataifa.
Chanzo: Africanews
Comments
No comments Yet
Afrika
DR Congo yakana kutoa rasilimali zake za madini katika makubaliano ya amani ya Trump
- 15 February 2026
- 10 Views
China kuziondolea ushuru nchi za Afrika ifikapo mwezi Mei
- 15 February 2026
- 9 Views
Umoja wa Afrika wataka kukomeshwa kwa mauaji ya Wapalestina
- 15 February 2026
- 8 Views
Umoja wa Afrika wafurahishwa na mpango wa usitishaji wa mapigano DRC
- 14 February 2026
- 12 Views
Latest News
Sojoji Sun Daƙile Hare-haren ‘Yan Ta’adda a Borno
- 16 February 2026
- 1 Views
Nigeria : déploiement militaire américain dans le nord-est
- 16 February 2026
- 2 Views
Nuñez Awasili Algeria Kufufua Ushirikiano wa Kiusalama Katikati ya Mvutano
- 16 February 2026
- 1 Views
Ufaransa na Poland Zazindua Msimu wa Utamaduni wa Pamoja 2027
- 16 February 2026
- 4 Views
Comment