Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Serikali ya kikoloni ya Uingereza ilipatikana na hatia ya kuwaua wachimba migodi wa Mkaa wa Iva Valley jimbo la Enugu wakati wakiandamana kupinga mazingira mabaya ya kazi.
Mahakama nchini Nigeria imeiagiza serikali ya Uingereza kuwalipa fidia ya pauni za Uingereza milioni 20 (dola milioni $27) kila familia ya wachimba migodi ya mkaa 21 waliouawa 1949 na maafisa wa usalama wakati wa utawala wa Kikoloni, kulingana na shirika la habari la serikali.
Hukumu hiyo ya Alhamisi imefikisha mwisho harakati za kulipwa fidia kutokana na mauaji hayo za miongo kadhaa, zinazoaminika nchini Nigeria kama moja ya matukio yaliyohamasisha mapambano ya uhuru miaka 11 baadaye kutoka kwa Uingereza, 1960.
Wachimba migodi hao waliuawa kwenye Mgodi wa Mkaa wa Iva Valley jimbo la kusini mashariki la Enugu walikuwa wanaandamana kupinga mazingira mabaya ya kazi. Walikuwa kwenye mgodi huo wakati polisi wa Ukoloni walipowafyatulia risasi, kuwaua 21 na wengine wengi kujeruhiwa.
Katika hukumu yake, Jaji Anthony Onovo wa Mahakama Kuu ya Enugu imeupata utawala wa Uingereza wa Kikoloni na hatia ya mauaji hayo na kuamuru kuwa serikali ya Uingereza inatakiwa kuomba radhi rasmi kwa familia za waliouawa.
Serikali ya Uingereza haijatoa tamko lolote kuhusu hilo. Uingerea haikuwakilishwa kwenye mchakato mzima wa shauri hilo.
Comments
No comments Yet
Afrika
Wapiganaji wa Sudan RSF wafanya mashambulizi ya droni, kuwaua watu kadhaa ikiwemo watoto
- 07 February 2026
- 2 Views
UNICEF inasema watoto wasiopungua 20 wameuawa mwezi Januari nchini Sudan
- 07 February 2026
- 8 Views
Maelfu ya Walibya wajitokeza kumzika mtoto wa Gaddafi
- 06 February 2026
- 9 Views
AU: Shambulizi la M23 kwenye uwanja wa ndege ni ‘tukio la kigaidi’
- 06 February 2026
- 17 Views
Latest News
Wapiganaji wa Sudan RSF wafanya mashambulizi ya droni, kuwaua watu kadhaa ikiwemo watoto
- 07 February 2026
- 2 Views
Sudan's RSF launches drone attack, killing dozens including children: doctors network
- 07 February 2026
- 6 Views
UK ordered to pay $572m in compensation for Nigerian miners killed in 1949
- 07 February 2026
- 9 Views
UNICEF inasema watoto wasiopungua 20 wameuawa mwezi Januari nchini Sudan
- 07 February 2026
- 8 Views
Comment