Sport
Dollar
38,8582
0.07 %Euro
43,9194
0.35 %Gram Gold
4.112,6800
2.06 %Quarter Gold
0,0000
%Silver
0,0000
%Zoezi hilo pia linahusisha kuwaondoa wasio na sifa kwenye Daftari hilo.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania imewataka wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili mzunguko wa pili ulioanza Mei 16 hadi 22, 2025.
Tume imesema kuwa haitaongeza muda baada ya zoezi hilo kukamilika ambalo pia linahusisha kuwaondoa wasio na sifa kwenye Daftari hilo.
Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ambae ni Mwenyekiti wa Tume, ameyasema hayo katika ziara ya kukagua mwenendo wa zoezi hilo katika Halmashauri za Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.
Comments
No comments Yet
Comment