Dollar

41,2812

0.11 %

Euro

48,9624

-0.06 %

Gram Gold

4.890,6600

-0.04 %

Quarter Gold

0,0000

%

Silver

0,0000

%

Matokeo kutoka vituo vya upigaji kura yanatumwa katika vituo vya kuhesabu kura za majimbo kabla ya kutumwa katika kituo kikuu cha kuhesabu kura.

Raia wa Malawi wanasubiria matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Malawi huku taifa hilo likisubiri matokeo ya Uchaguzi wa Urais na Bunge.

Wagombea wapatao 17 wanashiriki katika kinyang'anyiro cha urais, ambapo Rais Lazarus Chakwera anawania muhula wa pili huku akikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mtangulizi wake, Peter Mutharika.

Matokeo kutoka vituo vya kupigia kura yanapelekwa kwenye vituo vya kujumlisha kura vya majimbo kabla ya kusafirishwa hadi kituo cha kitaifa cha kujumlisha kura.

Vyombo vya habari vya ndani vimeruhusiwa kutangaza matokeo ya awali kutoka vituo vya kupigia kura, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Malawi (Malawi News Agency).

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#