Sport
Dollar
40,9400
0.02 %Euro
47,6934
-0.06 %Gram Gold
4.393,9100
-0.3 %Quarter Gold
0,0000
%Silver
0,0000
%Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki baada ya boti kuzama kaskazini magharibi mwa Nigeria, shirika la huduma ya dharura la nchi hiyo limesema siku ya Jumatano.
Watu wasiopungua 22 wanaaminika kufariki baada ya boti kuzama kaskazini mashariki mwa Nigeria, shirika la huduma la dharura la nchi lilisema siku ya Jumatano.
Boti hiyo ilikuwa imewabeba wakulima 50 na wafanyabiashara waliokuwa wanaelekea kwenye soko ilipozama katika jimbo la kaskazini magharibi la Sokoto siku ya Jumapili.
Watu ishirini na tano waliokolewa muda mfupi baada ya ajali hiyo na wafanyakazi wa dharura, Shirika la Taifa la Dharura (NEMA) limesema, na miili mitatu ilipatikana siku ya Jumanne.
Watu ishirini na mbili hawajulikani waliko lakini juhudi za uokoaji zimekamilika, amesema mkuu wa operesheni wa NEMA huko Sokoto, Aliyu Kafindangi.
Comments
No comments Yet
Comment