Sport
Dollar
41,2910
0.2 %Euro
48,4340
0.61 %Gram Gold
4.758,6800
1.43 %Quarter Gold
0,0000
%Silver
0,0000
%Shirika la Save the Children linasema watu 150, ikiwemo watoto 40, wamenusurika na wanatibiwa kwa sasa.
Mapromoko hatari ya ardhi katika eneo la magharibi mwa Sudan la Darfur mwishoni mwa wiki limesababisha vifo vya watoto wasiopungua 200, shirika la misaada lilisema Ijumaa, huku juhudi za uokoaji zikiendelea katika eneo hilo.
Watu zaidi 1,000, wengi wao wamefukiwa kwenye matope, wanaaminika kupoteza maisha yao katika maporomoko ya Agosti 31.
Save the Children linasema watu 150, ikiwemo watoto 40, wamenusurika na wanatibiwa kwa sasa.
“Hili ni janga juu ya janga ambalo kwa sasa ni mgogoro nchini Sudan. Haya ni moja ya majanga mabaya zaidi kuwahi kutokea Sudan,” Mkurugenzi wa operesheni wa Save the Children nchini Sudan, Francesco Lanino, ameliambia shirika la AP siku ya Ijumaa.
Comments
No comments Yet
Comment