Miaka mitatu ya vita vya Gaza: Jinsi Israel ilivyoharibu miundombinu muhimu
Miundombinu iliyoharibiwa, uhaba wa umeme na vikwazo dhidi ya upatikanaji wa bidhaa muhimu vimewaacha wakazi wengi wa Gaza wakihangaika kupata maji salama na huduma za usafi wa mazingira.
7 Oktoba 2026
Miaka mitatu baadaye, Netanyahu anakabiliwa na jinamizi la Oktoba 7
Wakati Israel ikielekea kwenye uchaguzi muhimu, kumeibuka mapya kuhusu onyo lilotolewa kabla ya mashambulizi ya Hamas kuzua tena maswali juu ya hatua za kisiasa za Netanyahu, namna alivyoshughulikia tishio hilo na vita v
7 Oktoba 2026
Maandamano ya wanafunzi yanaendelea Ufaransa huku shule za sekondari 500 zikifungwa
Takriban watu 5,000 wamekamatwa tangu harakati hiyo ilipoanza, huku shule 24 zikichomwa moto au kuporwa, kulingana na mamlaka za Ufaransa.
5 Oktoba 2026
Jeshi la Yemen lasema 'limewakata makali' Wahouthi 1,747 katika operesheni za kijeshi zaidi 1,100
Operesheni hiyo ililenga maeneo ya kurusha mizinga, roketi, wanajeshi na vituo vya uongozi katika sehemu mbalimbali
5 Oktoba 2026
Marekani kutuma wanajeshi zaidi Israel kufuatia hofu ya kuongezeka kwa mzozo: Ripoti
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, jeshi la Marekani limekuwa likifanya mabadiliko ya kawaida ya wanajeshi katika wiki za hivi karibuni.
5 Oktoba 2026
Israel yaua mama na binti Wakristo katika jaribio lililofeli la kumuua kiongozi wa Hamas
Vyombo vya habari vya huko vinasema kuwa tathmini za Israel zinaashiria kuwa Ali al-Amoudi alinusurika katika shambulio la shabaha mahususi jijini Gaza, ambalo badala yake liliua Wapalestina watano, wakiwemo wanawake wan
4 Oktoba 2026
Tangazo · 970 × 250
Mhandisi wa Marekani akamatwa kwa madai ya kutoa msaada kwa kundi la Wa-Houthi
Ashton Hamed Ellaboudy, mwenye umri wa miaka 51 na mkazi wa jimbo la Washington, kaskazini-magharibi mwa Marekani, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Ijumaa.
2 Oktoba 2026
Trump akataa kumuunga mkono Netanyahu katika uchaguzi ujao wa Israel
Rais wa Marekani anasema hajasikia "mambo mabaya" kumhusu mgombea wa upinzani Gadi Eisenkot.
1 Oktoba 2026
China yaadhimisha miaka 77 tangu kuanzishwa kwake
Maadhimisho hayo yaanza Oktoba 1 hadi 7, ambapo nchi hiyo imetenga wiki nzima kuwa siku za mapumziko.
1 Oktoba 2026
Majeshi ya Israel yazingira ‘Kaburi la Yosefu’
Tukio hilo, ni mwendelezo wa uvamizi wa majeshi ya Israel, kwenye maeneo mbalimbali matakatifu, ambayo ulianza Septemba 26.
1 Oktoba 2026
Ndege ya UAE yatua Saudi Arabia baada ya marubani kupigana angani
Ndege hiyo ilituma kwa muda mfupi ishara ya dharura ya kabla ya kubadili na kutuma kodi ya hatari ndani ya ndege.
30 Septemba 2026
Uingereza yafikiria kurejea tena ndani ya Umoja wa Ulaya
Uingereza ilipiga kura ya kujiondoa ndani ya Umoja wa Ulaya, kupitia kura ya maoni ya mwaka 2016.
30 Septemba 2026
Ghalibaf: Hakuna nchi itakayoweza kuuza mafuta ikiwa Iran itazuiwa kuuza
Mauzo ya nje ya mafuta ya Iran yalishuka hadi sifuri mwezi Agosti, huku Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, akihusisha hali hiyo na vita vinavyoendelea pamoja na vikwazo vya Marekani.
29 Septemba 2026
Bingwa wa zamani wa ‘Pool Table’ Graeme Dott atupwa jela miaka saba kwa kuwanyanyasa watoto kingono
Raia huyo wa Scotland, ambaye alitwaa ubingwa wa dunia wa ‘Pool Table’ mwaka 2006, amewekwa kwenye orodha ya kudumu ya watuhumiwa wa unyanyasaji wa kingono kwa watoto.
29 Septemba 2026
Trump akataa pendekezo la Iran la kufungua tena Mlango-bahari wa Hormuz
Rais wa Marekani anasema Iran inataka kufikia makubaliano ya kufungua mlango-bahari huo mara moja kwa sababu "inapata hasara kubwa sana".
27 Septemba 2026
Iran yapendekeza makubaliano na Marekani kufungua Mlango-bahari wa Hormuz ndani ya siku saba
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliwaelezea waandishi wa habari nje ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu pendekezo hilo, akisema kuwa Tehran pia itaanza upya mazungumzo yaliyokwama na Marekani
26 Septemba 2026
Korea Kaskazini yasema itaendelea kuzalisha silaha za kinyuklia
Msimamo huo unakuja baada ya Korea Kaskazini kufanya majiribio ya makombora kadhaa, kupima uwezo wake.
24 Septemba 2026
Jeshi la Israel lalipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina
Mashuhuda walisema kuwa, wanajeshi hao walivamia mji huo na kuanza kushambulia makazi ya Dawas Hassoun, na kusababisha uharibifu mkubwa, siku ya Jumatano jioni.
24 Septemba 2026
Ujerumani yagomea wito wa Trump wa kujiondoa ICC
Kauli ya Ujerumani, inakuja siku moja baada ya rais Trump, kuiita ICC, “kikundi cha watu wabaya”, wakati akifungua majadiliano ndani ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akiyataka mataifa mbalimbali duniani, kujitoa kwenye
23 Septemba 2026
Qatar yataka mfumo wa usalama kati ya nchi za Ghuba na Iran kufuatia mzozo unaoendelae
Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani, amesema eneo la Ghuba linahitaji utaratibu wa usalama unaozingatia uhuru wa nchi na makubaliano ya kutokushambuliana.
21 Septemba 2026
Trump kutolishambulia kundi la Wa-Houthi kwa sasa: Gazeti la NYT
Kwa mujibu wa gazeti la NYT, Mwanamflame wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, alimpigia Trump simu siku ya Alhamisi kwa mara nyingine kutaka Marekani kuchukua hatua za kijeshi, wakati mapigano yalipokuwa yakiongezeka.
21 Septemba 2026
Jeshi la Marekani linakadiria gharama ya vita dhidi ya Iran kuwa Dola bilioni 43.6
Vita vya Marekani dhidi ya Iran vinaathiri bei ya mafuta na soko la hisa, na vimesababisha vifo na majeraha kwa wanajeshi wa Marekani, huku gharama zake za kisiasa zikipimwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Bunge
19 Septemba 2026
Trump atia saini mswada wa vikwazo dhidi ya Urusi: China na India zakabiliwa na uwezekano wa ushuru
Trump anatia saini Sheria ya Graham inayopanua vikwazo dhidi ya Urusi na kuidhinisha ushuru wa hadi asilimia 100 kwa wanunuzi wakuu wa mafuta na gesi ya Urusi.
19 Septemba 2026
Kaka wa Princes Diana ‘amshukia’ Mfalme Charles III kwa kufurahia kifo cha dada yake
Kupitia kitabu chake kipya, Charles Spencer anadai kuwa, Mfalme Charles III, alikuwa ni mtu mwenye furaha, usiku wa ajali iliyochukua uhai wa Diana, ambaye aliwahi kuwa mke wake.
17 Septemba 2026