Dollar

42,3350

0.2 %

Euro

49,1712

0.05 %

Gram Gold

5.547,4900

-0.07 %

Quarter Gold

9.430,0100

0 %

Silver

69,2000

0.51 %

Mashambulizi hayi yalilenga baadhi ya mashirika ya serikali yanayotoa huduma muhimu.

Tovuti za taasisi za serikali ya Kenya zashambuliwa

Tovuti kadhaa za serikali ya Kenya zimeshambuliwa katika wizara kadhaa na mashirika ya serikali, taarifa za vyombo vya habari nchini zilisema.

Imekuwa vigumu kufikia tovuti nyingi, kutokana na kuharibiwa kwa muonekano wa mitandao hiyo, kubadilisha taarifa muhimu kwa kuweka taarfia zisizohitajika,taarifa nchini humo zilisema.

Shambulizi hilo lilitatiza huduma muhimu za serikali, wizara za Afya, Elimu, Ajira, Mazingira , Teknohama, Utalii, Nishati, Maji, na Mambo ya Ndani.

Watumiaji Visitors to the compromised sites encountered defaced pages with the messages “Access denied by PCP” and “We will rise again” among some unauthorised texts on display.

Hakuna aliyekiri kuhusika

Hakuna kundi lililojitokeza kukiri kuhusika na mashambulizi hayo ya mtandaoni. Serikali wala mashirika ya serikali haijatoa taarifa kuhusu shambulizi hilo au wakati gani huduma zitarejea.

Hii siyo mara ya kwanza kwa tovuti za serikali ya Kenya kushambuliwa. Mwezi Julai 2023, mamlaka ziliripoti kuwa mtandao wake wa e-Citizen, unaohusika na kutoa huduma za serikali na masuala ya nyumba kwa raia kuwa data zao muhimu, zilikuwa zimeshambuliwa.

Shambulio hilo lilisababisha huduma za Mamlaka ya Usafiri na Usalama ya Taifa na Shirika la Umeme pamoja na Reli kutatizika.

Comments

Comment

Comment Your email address will not be published. Required fields are marked*

No comments Yet

#