Kituo cha tafiti kimeahidi kutoa data na mapendekezo ya sera yenye uwazi na ufanisi. .

ZRCP yaunga mkono mmapendekezo ya Rais Mwinyi kuhusu ushirikiano na uboreshaji wa malipo kidijitali

Mkurugenzi Mkuu wa ZRCP, Juma Hassan Reli, amekubaliana na mapendekezo ya Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuhusu umuhimu wa kutumia matokeo ya tafiti katika utekelezaji wa sera.

Kituo hicho kimeahidi kushirikiana na Serikali katika kutoa tafiti na mapendekezo ya maboresho ya mifumo ya malipo ya kidijitali na kusaidia mapitio ya sera, sheria na kanuni ili kuhakikisha uwazi na ufanisi katika sekta ya umma.

CHANZO: Newstimehub

#