Hakuna visa za Marekani zilizotolewa kwa timu ya Iran kushiriki Kombe la Dunia la 2026
Mkuu wa shirikisho la soka la Iran amesema kuwa hadi sasa hakuna visa zilizotolewa kwa timu ya taifa kushiriki katika Kombe la Dunia la 2026 nchini Marekani.
Mkuu wa shirikisho la soka la Iran amesema kuwa hadi sasa hakuna visa zilizotolewa kwa timu ya taifa kushiriki katika Kombe la Dunia la 2026 nchini Marekani.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), adhabu hiyo ni kwa mujibu wa kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu, kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.
Kupigwa kalamu kwa Kocha Addo unakuja baada ya timu ya taifa ya mpira ya Ghana kufungwa mechi nne mfululizo katika mechi za kirafiki.
Timu hiyo sasa inajiunga na Ureno, Colombia na Uzbekistan katika kundi moja kuwania kombe hilo la dunia.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza Jumatano, April 1, 2026 kuwa sikukuu ya kitaifa baada ya timu yao kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026 siku ya Jumanne
Timu kumi za mataifa ya Afrika zitashiriki katika fainali za Kombe la Dunia 2026 ikiwa ni uwakilishi mkubwa zaidi kutoka bara la Afrika.
Mzaliwa wa jijini Bucharest, Lucescu amewahi pia kuzifudisha klabu zingine za Ulaya, ikiwemo Inter Milan na Shakhtar Donetsk, katika miaka yake 47 ya kufundisha soka barani Ulaya.
Wachezaji hao hawajulikani waliko tangu mechi yao ya Machi 31, na kocha anaamini kuwa wameenda kujaribu kutafuta fursa za kiuchumi katika mataifa yenye uwezo.
Mchezaji huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 50, amesaini mkataba wa miaka minne na Angola, akitarajiwa kuisaidia Angola kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2030, baada ya kushindwa kufanya hivyo mwaka huu.
Akizungumza Aprili 16 mwaka huu, Rais wa FIFA, Gianni Infantino alisema kuwa Iran inatarajiwa kushiriki kwenye michuano hiyo mikubwa duniani.
Lengo la mabadiliko hayo, ni kuzuia wachezaji kukosa mechi muhimu, kwa kuwa na kadi za njano zaidi ya moja.
Tukio hilo lilitokea siku ya Alhamisi, wakati wa Mkutano Mkuu wa 76 wa FIFA mjini Vancouver, Canada, mara tu baada ya rais wa FIFA Gianni Infantino kumuomba Rajoub amsalimu Bassem Sheikh Suleiman, ambaye ni Makamu Rais w
Malalamiko yaongezeka huku mashirika yakishutumu FIFA kwa bei zisizo na uwazi.
FIFA imesema Iran itashiriki mashindano ya Kombe la Dunia licha ya changamoto za kisiasa
Zaidi ya miamala 28,500 ya kutiliwa shaka inatarajiwa kutokana na ulaghai wa tiketi na usafiri.
Kuongezeka kwa timu hadi 48 kwafanya mashindano kuwa marefu na kuongeza mzigo kwa wachezaji.
Mchezaji huyo atakosa mechi zote zilizobaki msimu huu pamoja na mashindano ya Kombe la Dunia kutokana na majeraha.
Nahodha huyo wa Ureno bado hajawahi kushinda Kombe la Dunia licha ya mafanikio makubwa kimataifa.
Wachambuzi waonya siasa zinaweza kuathiri ushiriki wa timu ya taifa.
Serikali yasema timu iko tayari huku FIFA ikithibitisha ushiriki wake.
Ripoti zadai mvutano kati ya kocha na wachezaji uliathiri matokeo.
Mapato ya michezo ya wanawake yanatarajiwa kufikia dola bilioni 3 mwaka 2026, ikionyesha ukuaji mkubwa kutoka bilioni 2.4 mwaka 2025.
Mashabiki wa Hispania wanachunguzwa na FIFA kufuatia matukio ya tabia mbaya.
Jukwaa la kimataifa linatafuta njia za kulinda michezo ya jadi dhidi ya kutoweka.