Mamlaka za South Africa zimechukua hatua ya kumfukuza mwana wa Robert Mugabe baada ya kuhusishwa na kosa la kumiliki silaha bila kibali. Kesi hiyo ilisababisha mjadala mkubwa, hasa kutokana na historia ya familia yake na nafasi ya baba yake katika
Mamlaka za South Africa zimechukua hatua ya kumfukuza mwana wa Robert Mugabe baada ya kuhusishwa na kosa la kumiliki silaha bila kibali.
Kesi hiyo ilisababisha mjadala mkubwa, hasa kutokana na historia ya familia yake na nafasi ya baba yake katika siasa za Zimbabwe. Hata hivyo, mahakama ilisisitiza kuwa sheria lazima ifuatwe kwa kila mtu bila ubaguzi,
Inaelezwa kuwa baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria, ataondolewa nchini na kurejeshwa Zimbabwe,
Serikali imeeleza kuwa haitavumilia ukiukwaji wa sheria, hasa katika masuala nyeti kama silaha, ambayo yanaweza kuhatarisha usalama wa jamii.
Chanzo:Newstimeshub