Sport
- Sport
- World
- Insight
- Africa
- Business
- Life
- Opinion
- Staff Reporter
- Business & Technology
- Pauline Odhiambo
- Politics
- Charles Mgbolu
- Arts & Culture
- War On Gaza
- Business & Technology
- Guinness World Record For The Longest Chess
- Cryptocurrency Trading Platform
- Arts & Culture
- Sylvia Chebet
- The Record Attempt Kicked Off On April 17th
- Despite Efforts To Stop The Killings.
- Emmanuel Oduor
- Climate Change
- Semblance Of Security Returns
- Medicinal Plants
- Firmain Eric Mbadinga
- Kategori bulunamadı
- Nuri Aden
- Burna Boy Has Worked To Carve A Unique Space For Himself
- Dayo Yussuf
- Edward Qorro
- Sudan Begins Rebuild Of Khartoum Amid Devastating Civil War
- Chess Federation
- Millicent Akeyo
- From Onana To Kudus: African Stars Missing At Afcon
- Egypt Recorded 19 Million Tourists In 2025: Minister
- Brian Okoth
- Died At The Age Of 54
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi lafanya tathmini ya utayari wa majini huku mvutano ukiongezeka kati ya Tehran na Washington.
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) kimeanza mazoezi ya kijeshi katika eneo la kimkakati la Hormuz, siku moja kabla ya duru ya mazungumzo na Marekani. Kwa mujibu wa taarifa ya IRGC, zoezi hilo linalenga kupima utayari wa vikosi vya majini na kuangalia mipango ya ulinzi katika ukanda huo muhimu.
Hormuz ni moja ya njia nyeti zaidi za usafirishaji wa mafuta duniani, ikiunganisha Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman. Mazoezi hayo yanaonekana pia kuwa na ujumbe wa kisiasa kwa Washington, wakati mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa manowari nyingine ya kijeshi itatumwa katika eneo la Mashariki ya Kati, ishara ya kuongezeka kwa uwepo wa kijeshi wa Marekani katika ukanda huo.
Chanzo: TRT Global
Comments
No comments Yet
Ulimwengu
Erdogan: Kutambuliwa kwa Somaliland na Israel hakutanufaisha eneo la Pembe ya Afrika
- 17 February 2026
- 1 Views
Mataifa 8 yakosoa uamuzi wa Israel kunyakua ardhi Ukingo wa Magharibi
- 17 February 2026
- 10 Views
Makumbusho ya Uingereza Yarekebisha Maonesho, Yaondoa Neno “Palestina”
- 16 February 2026
- 20 Views
Rais Donald Trump ‘yuko tayari’ kukutana na Ayatollah Ali Khamenei wa Iran kama itahijatika
- 15 February 2026
- 8 Views
Latest News
Erdogan: Kutambuliwa kwa Somaliland na Israel hakutanufaisha eneo la Pembe ya Afrika
- 17 February 2026
- 1 Views
Golan Barcelona ya ƙi karɓar kyautar gwarzon wasa
- 17 February 2026
- 1 Views
Jesse Jackson, veteran US civil rights leader, dies at 84
- 17 February 2026
- 12 Views
Mataifa 8 yakosoa uamuzi wa Israel kunyakua ardhi Ukingo wa Magharibi
- 17 February 2026
- 10 Views
Comment