Ripoti inaonyesha nchi tatu—Egypt, South Africa na Morocco—zitakuwa vinara wa ukopaji mwaka huu.

Egypt, South Africa na Morocco Kuongoza kwa Utoaji wa Madeni

Kwa mujibu wa S&P Global Ratings, nchi zitakazoongoza katika utoaji wa madeni ya kibiashara ni Egypt, South Africa na Morocco.

Nchi hizi zinahitaji fedha nyingi kwa ajili ya kufadhili bajeti zao na kulipia madeni ya zamani, huku zikiendelea kukabiliana na changamoto za kiuchumi.

Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa wastani wa gharama ya madeni kwa nchi 27 zilizopimwa ni takriban dola bilioni 1.5 kwa mwaka.

CHANZO: Newstimehub

#