Fidan alikutana na Ed Miliband wa Uingereza na Mohammad Ishaq Dar, wa Pakistan.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake kutoka Uingereza na Pakistan, siku ya Ijumaa jijini Istanbul.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara hiyo, Fidan alikutana na Ed Miliband wa Uingereza na Mohammad Ishaq Dar, wa Pakistan.
Hata hivyo, bado haijulikani ni mambo gani watatu hao walijadiliana wakati wa kikao chao cha Ijumaa.
