Marekani yaingia mkataba wa kuvuna mafuta na dhahabu ya Venezuela
Mkataba huo, unasainiwa baada ya serikali ya Marekani kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro, mwezi Januari mwaka huu.
Mkataba huo, unasainiwa baada ya serikali ya Marekani kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro, mwezi Januari mwaka huu.
Mgodi wa dhahabu uliporomoka kusini mwa Sudan na kuua takriban wachimbaji wadogo 60, kulingana na maelezo ya manusura wawili kwa shirika la habari la AFP siku ya Jumatano, huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.
Juhudi za uokoaji zilisitishwa kutokana na mgodi kutitia na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
Kituo hicho kinachopendekezwa kinatarajiwa kuhusisha miundombinu ya kuhifadhi na kusafisha mafuta, biashara na usambazaji wa mafuta, pamoja na mabomba na vifaa vingine vya mafuta na gesi.
Onyo hilo lilitolewa kufuatia kauli za Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye alitishia kuanzisha mashambulizi makubwa dhidi ya Iran.
Waziri wa Madini wa nchi hiyo, Anthony Mavunde amesema dhahabu hiyo ilikamatwa kupitia operesheni maalum ya vyombo vya dola na mamlaka za madini.
Vifo hivi ni vya kwanza tangu Rais Ramaphosa alipopeleka wanajeshi kukabiliana na uchimbaji madini haramu.
Ni Vipande 163 vya dhahabu vyenye uzito wa gramu 4434.6
Hali hiyo, ilisababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Kenya inakaribia kusaini mkataba muhimu wa madini na Marekani ambapo itashughulikia rasilimali zake ndani ya nchi, rais wake alisema kando ya mkutano wa kilele wa G7 siku ya Jumatano.
Watu wasiopungua 28 wameuawa baada ya maporomoko ya ardhi kukumba mgodi haramu wa dhahabu mkoa wa kaskazini magharibi wa Bengo nchini Angola, mamlaka za nchini humo zilisema siku ya Jumatatu.
Katika hotuba kupitia televisheni, Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa ameagiza bei ya dizeli ipunguzwe kwa shilingi 10 kwa lita (dola 0.0772) katika mzunguko wa bei wa mwezi Juni na Julai.
Rais Donald Trump ameapa kutoruhusu Iran kuwa na madini hayo au kuiruhusu kuwa na silaha za nyuklia.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA), unaofanyika mjini Kigali nchini Rwanda Mei 19, 2026.
Trump anasema Marekani imemuokoa mshiriki wa wafanyakazi wa F-15 "aliyejeruhiwa vibaya, na jasiri sana" kutoka ndani kabisa ya milima ya Iran.
Madagascar ilitangaza hali ya dharura kote nchini kwa siku 15 siku ya Jumanne, ikitaja kutatizwa kwa usambazaji wa nishati kutokana na vita vya Iran kama sababu.
Zambia inaendelea na juhudi za kudhibiti uchimbaji haramu wa madini, hasa madini ya thamani kama dhahabu.
Mashariki ya Kati inaweza kuchukua hadi miaka 2 kurejesha viwango vyake vya nishati ilivyokuwa kabla ya mgogoro, anasema mkuu wa Shirika la Nishati la Kimataifa Fatih Birol.
Hii inalenga kuimarisha uwezo wa DRC wa kuweka akiba ya madini na kufanya maamuzi kuhusu mauzo ya nje pamoja na kuwa na udhibiti zaidi wa soko la kimataifa.
Kulingana na Benki ya Dunia kufikia 2023, ni asilimia 51.5 pekee ya watu waliunganishwa na huduma ya umeme nchini Uganda.
Matamshi ya hivi punde zaidi ya Trump katika jimbo la Arizona yanakuja baada ya Iran kuapa kwamba hazina yake ya madini ya uranium iliyorutubishwa haitahamishiwa "popote."
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV amewasili Equatorial Guinea siku ya Jumanne na kukashifu “ukoloni” wa madini ya Afrika pamoja na “tamaa ya madaraka.”
Ruto alisisitiza kuwa Kenya itawekeza katika kuboresha uwezo, kuvutia ushirikiano wa viwanda, na kuanzisha motisha za sera ili kusaidia usindikaji wa ndani.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ikiwa katika juhudi za kupunguza wizi na uporaji wa madini yake, Jumatatu ilitangaza mpango wa kuanzisha kikosi maalum kitakachohusika na kulinda sekta ya madini nchini humo.