Mwanamke wa kumi apatikana amefariki katika msururu wa mauaji nchini Afrika Kusini
Polisi wa Afrika Kusini walipata mwili mwingine siku ya Jumamosi huko Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg.
Polisi wa Afrika Kusini walipata mwili mwingine siku ya Jumamosi huko Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg.
Msemaji wa Qatar Airways alisema kuwa fursa hiyo ya hiari ya kuhamishiwa kazi kwa muda mfupi itatoa fursa muhimu za kupata uzoefu kurusha ndege kwa marubani.
Wapiganaji walioasi wanasema uamuzi huo ulifuatia ‘maafa’ yaliyoshuhudiwa ndani ya kundi hilo la wanamgambo.
Abiria wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo walifariki baada ya ndege kuwa na hitilafu ya kiufundi na kujaribu kutua eneo la makazi ya watu, afisa mmoja alisema.
Viongozi wa dunia, hasa kutoka barani Afrika na Mataifa yanayoendelea, wamehoji kuwa shirika lililoundwa miaka 80 iliopita haliendani na dunia ilivyo kwa sasa.
Sudan inatoa wito kwa Marekani kuheshimu uhuru wake huku wanaharakati na waandishi wakishtumu kuhusishwa kwa viza ya UN ya Mwenyekiti wa Baraza la Sudan Abdel Fattah al-Burhan na pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku
Katika ujumbe kupitia mtandao wa X, Byanyima alisema aliibua suala la kuendelea kuzuiliwa kwa Dk. Besigye nchini Uganda.
Ethiopia inakabiliwa na changamoto nyingi za kiusalama, ikiwemo katika kanda zake zenye idadi kubwa ya watu, Oromia na Amhara.
Akihutubia Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania inaendelea kusisitiza umuhimu wa kupatikana kwa suluhisho la kudumu kwa mgogoro kati ya Israel
Muungano huo mpya unajumuisha makundi yenye silaha ambayo zamani yalikuwa mahasimu.
Watu wasiofahamika wenye bunduki wamefyatua risasi katika eneo la Barkin Ladi, huku Jeshi la Nigeria likitangaza kukamatwa kwa watu 11 katika operesheni tofauti dhidi ya magenge yenye silaha.
Jeshi la Namibia lilikumbwa na shambulio la mtandaoni mwishoni mwa siku ya Ijumaa, baada ya faili zinazodaiwa kuhusiana na jeshi kuonekana mtandaoni.
Jeshi linasema operesheni ya awali kusini mwa Al-Keili ilitegemea taarifa za kijasusi.
Mswada umewasilishwa bungeni nchini Sudan Kusini ukilenga kukomesha rasmi nafasi tano za makamu wa rais kabla ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika tarehe 22 Desemba 2026.
Bwawa hilo linalopendekezwa lenye uwezo wa kuzalisha Megawati 1080 limepangwa kujengwa karibu na Nimule, katika Jimbo la Equatoria Mashariki, na ni mradi wa pamoja na nchi jirani ya Uganda.
Fedha hizo zitatumika kuwalipa fidia waathiriwa wa utawala wa Yahya Jammeh, Wizara ya Sheria ya Marekani ilisema.
Taarifa iliyotumwa na TikTok inawataka waandaaji maudhui kujaza taarifa binafsi katika fomu, pamoja na taarifa za makazi.
Jaji ameagiza Kanja afike katika Mahakama Kuu Septemba 22, 2026.
Afrika Kusini inataja madai ya Marekani kuhusu malipo ya fidia ya ardhi zilochukuliwa na ubaguzi wa rangi kuwa ya kupotosha na yasiyo na msingi.
Raia wa Libya wanatarajia kuwa uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa muda mrefu utamaliza migogoro ya kisiasa na ule wa watu wenye silaha na kuondoa uongozi wa mpito.
Neves, mwenye umri wa miaka 66, amewahi kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, kati ya mwaka 2001 hadi 2016, kabla ya kuchaguliwa kuiongoza nchi hiyo mwaka 2021.
Aliyekuwa mtu wa karibu wa mkuu wa jeshi la Uganda amekabidhiwa kwa Marekani kwa madai ya kupanga kutoa silaha kwa magenge ya dawa za kulevya ya Mexico.
Brigedia Jenerali Mamane Sani Kiaou ameteuliwa kuwa mkuu mpya wa jeshi, lakini hakuna maelezo yaliyotolewa kuhusu mabadiliko hayo.
Rais Cyril Ramaphosa alimshukuru Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kuunga mkono uenyekiti wa Afrika Kusini katika kundi la G20 na kusema kuwa biashara ya nchi hizo mbili inaweza kupanuliwa.