Aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei azikwa, huku waombolezaji waapa kulipiza kisasi
Mamilioni ya watu wamekusanyika katika mji wa Mashhad kwa swala ya maiti iliongozwa na mtoto mkubwa wa Khamenei, Hojjatoleslam Seyyed Mostafa Hosseini Khamenei, kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA.
10 Julai 2026
Netanyahu: Vita vya Iran bado havijaisha
Kauli yake, aliyoitoa siku ya Alhamisi, inafuatia mfululilizo wa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya Iran, katika kipindi cha siku mbili.
9 Julai 2026
Urusi kuisaidia Msumbiji kupambana na ugaidi
Uamuzi huo, unafuatia ombi lilitoka kwa Rais Daniel Francisco Chapo, mara baada ya kukutana na Waziri wa Mambo wa Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.
9 Julai 2026
NEWSTIMETR
Marekani yashambulia daraja muhimu la reli linalounganisha Iran, China na Urusi
Shirika la Habari la Fars la Iran limesema shambulio hilo la kombora la masafa marefu limelenga daraja la reli la Ogtay Khan lililoko katika mkoa wa Golestan, kaskazini mashariki mwa Iran, mapema Alhamisi.
9 Julai 2026
CCM na ACT-Wazalendo wamaliza mgogoro wa kisiasa Zanzibar
Hatua hii ya uwasilishwaji wa Tamko la Pamoja la Muafaka wa Kisiasa inaashiria kumalizika kwa mkwamo wa kisiasa.
9 Julai 2026
Polisi wapekua nyumba ya rais wa zamani, Jair Bolsonaro
Hata hivyo, polisi hawakukuta silaha yoyote baada ya upekuzi huo, kulingana na mwanasheria wa kiongozi huyo wa zamani.
8 Julai 2026
Tangazo · 970 × 250
Kutoka The Hague hadi Ankara: NATO 3.0 ni nini na kwa nini ni muhimu?
Mkutano wa NATO unaofanyika Ankara tarehe 7–8 Julai hauhusu tu kuongeza matumizi ya ulinzi au kuimarisha uwezo wa kijeshi. Unachukuliwa kama hatua muhimu katika kufafanua upya mustakabali wa muungano huo, huku dhana ya "
8 Julai 2026
Ukraine, Uholanzi zatiliana saini mkataba wa ulinzi wakati wa mkutano wa NATO
Mkataba huo, ulisainiwa kati ya Rais wa Ukraine na Waziri Mkuu wa Uholanzi wakati wa mkutano unaofanyika jijini Ankara
7 Julai 2026
Wataalamu Wawashauri Wasafiri Kujiandaa kwa Mfumo Mpya wa Entry/Exit wa EU ili Kuepuka Gharama za Ziada na Kukosa Ndege
Wasafiri wanaokwenda Ulaya katika kipindi hiki cha majira ya kiangazi wanashauriwa kujiandaa kwa mfumo mpya wa Umoja wa Ulaya wa Entry/Exit System (EES), ambao tayari umesababisha foleni ndefu katika baadhi ya viwanja vy
7 Julai 2026
Gaza yavunja utawala kabla ya uhamisho wa mamlaka chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano
Kaimu mkuu wa kamati ya dharura amejiuzulu, huku mamlaka zikisema hatua hiyo inalenga kuwezesha Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Gaza kuchukua majukumu yake.
6 Julai 2026
Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa vitisho kwa Iran huku raia wakimuomboleza Khamenei
Viongozi kadhaa kutoka nchi mbalimbali wamewasili Iran kutoa salamu za rambirambi kufuatia mauaji ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei.
6 Julai 2026
Trump kukutana na Zelenskyy, Sharaa wa Syria wakati wa mkutano wa NATO mjini Ankara
Ikulu ya Marekani imesema Rais Trump atakutana na wenzake wa Ukraine na Syria katika mkutano wa kilele wa NATO, huku washirika wakikabiliwa na shinikizo la kuongeza matumizi ya ulinzi.
6 Julai 2026
Watu 8 wauawa katika tukio la hivi punde la uhalifu wa bunduki nchini Marekani.
Ripoti za awali za polisi zinaonyesha kuwa wanne kati ya waathiriwa walikuwa watoto lakini hakuna maelezo ya mapema yaliyotolewa kuhusu utambulisho wa waathiriwa, nia au kama washukiwa wowote wamekamatwa.
5 Julai 2026
Maombi yamefanyika kwa ajili ya Khamenei wa Iran katika siku ya pili ya sherehe za mazishi
Umati mkubwa wa watu ulikusanyika mjini Tehran huku Iran ikiendelea kuomboleza kote nchini, huku mamilioni wakitarajiwa kuhudhuria mazishi ya kiongozi huyo baadaye wiki hii.
5 Julai 2026
Papa Leo awatetea wahamiaji wa Kiafrika kwenye kisiwa cha Mediterania
Papa Leo wa 14 anasema wahamiaji lazima wapokelewe kwa "huruma na ukarimu".
4 Julai 2026
Sherehe za mazishi ya Ali Khamenei zinaanza nchini Iran huku umati mkubwa ukidai kulipizwa kisasi
Mamlaka za Iran zinasema zinatarajia washiriki kati ya milioni 15 na 20 jijini Tehran pekee katika kipindi cha siku tatu zijazo, kwa ajili ya kutoa heshima kwa mtu aliyeiongoza nchi hiyo kwa miongo mitatu na nusu.
4 Julai 2026
Waziri Mkuu wa Moldova ajiuzulu baada ya miezi nane madarakani
Kupitia ujumbe wake aliouweka kwenye ukurasa wake wa Facebook siku ya Ijumaa, Munteanu alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya "kusukumwa na misimamo yake na kile anachokiamini".
3 Julai 2026
Watu 5 wauawa katika mlipuko wa bomu nchini Syria na wengine 16 kujeruhiwa
Mamlaka zimesema mlipuko huo ulisababishwa na kilupizi kilichowekwa ndani ya mkahawa jijini Damascus, Syria.
2 Julai 2026
Kanisa Katoliki lajitenga na Jumuiya ya Mtakatifu Pius wa 10
Jumuiya ya Mtakatifu Pius X yenye wafuasi wapatao 600,000 ulimwenguni, inapinga vikali mabadiliko ya kisasa yaliyoletwa na Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wa mwaka 1962-65, imeweka msisitizo kwenue matumizi ya Misa ya ka
2 Julai 2026
Mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani yamepiga hatua nzuri: Trump
Rais wa Marekani amesema mazungumzo na Iran yanaendelea baada ya hatua za hivi majuzi za kijeshi, huku pande zote mbili zikiendelea kufanikisha amani ya kudumu.
1 Julai 2026
Ufaransa yarekodi vifo zaidi ya 1,000 katika siku tano huku wimbi la joto likizidi kupanda
Idara ya Afya ya Umma ya Ufaransa ilisema data hiyo, ambayo inasalia kuwa ya muda, inaonyesha ongezeko kubwa la vifo wakati wa wimbi la joto, na watu walio na umri wa zaidi ya miaka 65 wakirekodi vifo vingi zaidi .
29 Juni 2026
Ajali mbaya ya ndege nchini Ufaransa, uchunguzi waanza
Mamlaka zinasema waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa anatarajiwa kuzuru eneo la ajali.
28 Juni 2026
Umoja wa Mataifa unakadiria karibu watu milioni 6.8 waliathiriwa na tetemeko la ardhi la Venezuela
Uchambuzi wa satelaiti umeonyesha kuwa karibu theluthi moja ya majengo katika mji wa Catia La Mar, ambao umeathirika vibaya, yameharibika, huku mashirika ya misaada yakikimbizana kutoa makazi, maji na huduma za matibabu.
28 Juni 2026
Lebanon, Israel na Marekani watia saini mpango wa makubaliano ya amani
Maafisa wa Lebanon na Israel wanayasifu makubaliano hayo kama hatua ya kwanza ya kumaliza uhasama wa miongo kadhaa, huku maelezo ya mapatano hayo yakiwa bado hayajafichuliwa.
27 Juni 2026