Ulimwengu

Iran kurejesha huduma za usafiri wa ndege

Iran kurejesha huduma za usafiri wa ndege

Kurejea kwa huduma za usafiri ndani ya uwanja huo, kunafuatia kufungwa kwa anga la Iran baada ya vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran ambavyo vilianza Februari 28.

6 Mei 2026
Tangazo · 970 × 250
Ta Dijital Ta Dijital
Trump afanya mazungumzo kuhusu mgogoro na Iran

Trump afanya mazungumzo kuhusu mgogoro na Iran

Hapo awali, Iran iliwasilisha pendekezo jipya kwa Marekani, ikisema kuwa itaachana na udhibiti wake kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz ikiwa Marekani itaondoa vizuizi vyake kwenye bandari za Iran, lakini haiko tayari kuujadi

6 Mei 2026
#