Erdogan yazitaka nchi zilizoendelea kuongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Rais wa Uturuki Erdogan anatoa wito wa kuboresha upatikanaji wa fedha, teknolojia na fursa za kujenga uwezo, hasa kwa nchi zilizo nyuma zaidi kimaendeleo na mataifa madogo yanayoendelea.
11 Novemba 2026
Guterres: Tunazidiwa nguvu na janga la Mabadiliko ya Tabianchi
Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, COP31, unafanyika katika jiji la Antalya, nchini Uturuki.
11 Novemba 2026
NEWSTIMETR
Dansi ya Mwazidika ya jamii ya Dawida Kenya
Dansi ya kiroho ya Mwazidika ni utamaduni unaotumika kukuza ustawi wa mtu binafsi na wa kijamii miongoni mwa kabila la Wadaida.
10 Novemba 2026
COP 31: Nafasi ya Akili Mnemba katika mabadiliko ya tabianchi
Watafiti wa Umoja wa Mataifa wanasema vituo vya data vinaweza kutumia umeme na maji mara mbili zaidi ifikapo mwaka wa 2030, kwa kiasi kikubwa kutokana na upanuzi wa haraka wa AI.
10 Novemba 2026
Guterres awataka viongozi duniani kuwa makini kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
Umoja wa Mataifa, kupitia maazimio yake, inazitaka nchi zilizopiga hatua kimaendeleo, kuwajibika kwa uchafuzi wa hali ya hewa, ni imetoa afua ya kifedha kwa mataifa yaliyoathirika na uchafuzi wa hali ya hewa duniani.
9 Novemba 2026
NEWSTIMETR
Rodrigue Kwizera: Mrundi anayepigania nafasi yake katika jukwaa la riadha duniani
Mafanikio yake makubwa ya hivi karibuni yalikuja Oktoba 2026, aliposhinda mbio za nusu marathon za Valencia kwa muda wa dakika 58 na sekunde tatu, na kuweka rekodi ya taifa ya Hispania.
8 Novemba 2026
Tangazo · 970 × 250
Mashirika ya mazingira yanatumia Akili Mnemba kufuatilia tabianchi, licha ya wasiwasi uliopo
Mashirika ya uhifadhi hutumia Akili Mnemba kufuatilia wanyamapori na moto, lakini pia yanaonya kuwa vituo vya data vinasababisha ongezeko la matumizi ya nishati na maji.
7 Novemba 2026
UNHCR: Mafuriko yanaweza kusababisha watu milioni 3 kukimbia makazi yao Afrika Mashariki
UNHCR ilisema kuwa majanga yanayohusiana na hali ya hewa yamesababisha watu zaidi ya milioni 255 kuyahama makazi yao kote duniani katika muongo mmoja uliopita.
6 Novemba 2026
NEWSTIMETR
Himaya, kumbukumbu, na kuhifadhi urithi wa viungo vya Zanzibar
Urithi wa viungo vya Zanzibar unatoa taswira ya biashara, utumwa na himaya. Leo hii, juhudi za kuendeleza urithi huo unaibua historia, kukumbusha vizazi kuhusu historia yao na kuwaunga mkono wakulima wa viungo wanawake.
5 Novemba 2026
Wagonjwa zaidi wa Ebola Kenya wapona, waruhusiwa kuondoka
Wizara ya afya inasema wagonjwa wawili wa Ebola waliobaki wanaendelea kutibiwa katika hospitali jijini Nairobi.
3 Novemba 2026
Idadi ya vifo vya Ebola katika DRC yazidi 5,000
Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imevuka 5,000, kulingana na takwimu za serikali zilizotolewa siku ya Ijumaa.
31 Oktoba 2026
Wanafunzi warejea mashuleni baada ya vita kumalizika Iran
Hatua hiyo, inafuatia kusitishwa kwa shughuli za masomo nchini Iran, toka kuanza kwa vita hivyo, Februari 28 mwaka huu.
23 Septemba 2026
Afrika Kusini yawakamata washukiwa watatu baada ya miili tisa wanawake kupatikana
Polisi nchini Afrika Kusini inasema siku ya Jumatatu kuwa imewakamata watu watatu kuhusiana na msururu wa mauaji ya wanawake katika eneo moja viungani mwa jiji la Johannesburg.
21 Septemba 2026
Italia inapanga kupiga marufuku kufunika uso shuleni na kuweka kikomo kwa wanafunzi wa kigeni
Chini ya hatua hizo zilizopangwa, wazazi wa wanafunzi wa kigeni watalazimika pia kujifunza lugha ya Kiitaliano.
20 Septemba 2026
Afrika Kusini yatoa zawadi ya $24,600 kwa taarifa kuhusu muuaji wa wanawake
Rais Cyril Ramaphosa ametangaza mauaji ya wanawake tisa katika kipindi cha miezi miwili kuwa mkasa wa kitaifa.
18 Septemba 2026
Mtu mmoja afa kwa ugonjwa wa Malaria nchini Ujerumani
Mwezi uliopita, wafanyakazi sita wa uwanja wa ndege wa Frankfurt waliugua ugonjwa wa Malaria, huku wawili wakipoteza maisha.
17 Septemba 2026
Dawa za kulevya zenye picha ya Gaddafi zakamatwa Libya
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa Januari, Libya imekuwa kitovu cha usafirishaji wa dawa za kulevya za kutengenezwa viwandani na aina nyinyingine ya mihadarati.
14 Septemba 2026
Mlipuko wa ugonjwa wa kimeta waua viboko 46 na tembo wanane nchini Zambia
Watu 12 wameambukizwa pia baada y akula nyama ya mizoga iliyoambukizwa vimelea vya kimeta (Anthrax)
13 Septemba 2026
Wanafunzi 20 wafariki kufuatia moto ulioteketeza shule mashariki mwa DRC
Idadi ya waliokufa bado ni ya awali, hadi sasa chanzo cha moto huo hakijabainishwa.
10 Septemba 2026
Ajali ya basi Misri yasababisha vifo vya watu 16 katika eneo la pwani maarufu kwa utalii
Mamlaka zinasema kuwa waliojeruhiwa walikuwa wanatibiwa, lakini hawakusema kuhusu chanzo cha ajali.
2 Septemba 2026
Kenya: Makubaliano na Pfizer kushusha bei ya dawa za saratani
Rais William Ruto anasema kuwa baadhi ya dawa ambazo hapo awali ziligharimu hadi shilingi milioni moja za Kenya kwa kila mzunguko wa matibabu, sasa zitagharimu chini ya shilingi 50,000.
1 Septemba 2026
Familia za waathirika wa ajali ya Ethiopian Airlines kulipwa fidia ya Dola milioni 87.3
Ndege hiyo, aina ya Boeing 737 MAX, iliyokuwa ikieleka Nairobi, Kenya kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia, ilipata ajali Machi 10, 2019.
31 Agosti 2026
Jepchirchir anaongoza ushindi wa 1-2 kwa Kenya jijini Sydney katika marathon ya wanawake
Muda wake wa ushindi ulikuwa sekunde tisa tu nyuma ya rekodi ya njia ya Sydney ya saa 2:18:22, iliyowekwa na Sifan Hassan mwaka jana.
30 Agosti 2026
Traore awataka vijana wa Burkina Faso “waepuke njia za mkato” zinazopelekea usaliti
Kiongozi wa Burkina Faso aliwataka vijana hao kujenga na kudumisha sifa ya unyenyekevu na uzalendo, huku wakijifunza kuielewa dunia pamoja na siasa za kimataifa.
28 Agosti 2026