Rais Samia asisitiza usawa wa kupatikana nishati kwa Afrika katika mkutano COP31
Rais Samia Suluhu Hassan amesema athari za mabadiliko ya tabianchi zinaigharimu Tanzania wastani wa asilimia 2 hadi 3 ya Pato la Taifa kila mwaka.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema athari za mabadiliko ya tabianchi zinaigharimu Tanzania wastani wa asilimia 2 hadi 3 ya Pato la Taifa kila mwaka.
Takriban vikao 370 vimepangwa kufanyika Antalya, huku mijadala ikigusia nyanja mbalimbali kuanzia uwekezaji katika nishati mbadala na mifumo ya usambazaji umeme, hadi usafiri wa anga endelevu na usafiri unaotumia nishati
Na leo, yeye ni sehemu ya mfululizo wetu wa makala yanazohusu wanariadha, yakiangazia vipaji vya riadha barani Afrika.
Kampuni ya uhandisi Fluor Corp ni miongoni mwa kundi la wawekezaji—wengi wao wakiwa kutoka Marekani—wanaowania kuendeleza eneo la Mrima Hill nchini Kenya, ambalo lina hifadhi ya madini muhimu.
Ghana imekuwa ikitathmini uwezekano wa umeme wa nyuklia kama sehemu ya juhudi za kuwa na vyanzo mbadala vya umeme.
Tarehe ya kukamilisha mradi huo wa ushoroba wa reli haijatangazwa bado.
Mkataba huo, unasainiwa baada ya serikali ya Marekani kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro, mwezi Januari mwaka huu.
Mgodi wa dhahabu uliporomoka kusini mwa Sudan na kuua takriban wachimbaji wadogo 60, kulingana na maelezo ya manusura wawili kwa shirika la habari la AFP siku ya Jumatano, huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.
Juhudi za uokoaji zilisitishwa kutokana na mgodi kutitia na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
Kituo hicho kinachopendekezwa kinatarajiwa kuhusisha miundombinu ya kuhifadhi na kusafisha mafuta, biashara na usambazaji wa mafuta, pamoja na mabomba na vifaa vingine vya mafuta na gesi.
Onyo hilo lilitolewa kufuatia kauli za Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye alitishia kuanzisha mashambulizi makubwa dhidi ya Iran.
Waziri wa Madini wa nchi hiyo, Anthony Mavunde amesema dhahabu hiyo ilikamatwa kupitia operesheni maalum ya vyombo vya dola na mamlaka za madini.
Vifo hivi ni vya kwanza tangu Rais Ramaphosa alipopeleka wanajeshi kukabiliana na uchimbaji madini haramu.
Ni Vipande 163 vya dhahabu vyenye uzito wa gramu 4434.6
Hali hiyo, ilisababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika maeneo mbalimbali nchini humo.
Kenya inakaribia kusaini mkataba muhimu wa madini na Marekani ambapo itashughulikia rasilimali zake ndani ya nchi, rais wake alisema kando ya mkutano wa kilele wa G7 siku ya Jumatano.
Watu wasiopungua 28 wameuawa baada ya maporomoko ya ardhi kukumba mgodi haramu wa dhahabu mkoa wa kaskazini magharibi wa Bengo nchini Angola, mamlaka za nchini humo zilisema siku ya Jumatatu.
Katika hotuba kupitia televisheni, Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa ameagiza bei ya dizeli ipunguzwe kwa shilingi 10 kwa lita (dola 0.0772) katika mzunguko wa bei wa mwezi Juni na Julai.
Rais Donald Trump ameapa kutoruhusu Iran kuwa na madini hayo au kuiruhusu kuwa na silaha za nyuklia.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA), unaofanyika mjini Kigali nchini Rwanda Mei 19, 2026.
Trump anasema Marekani imemuokoa mshiriki wa wafanyakazi wa F-15 "aliyejeruhiwa vibaya, na jasiri sana" kutoka ndani kabisa ya milima ya Iran.
Madagascar ilitangaza hali ya dharura kote nchini kwa siku 15 siku ya Jumanne, ikitaja kutatizwa kwa usambazaji wa nishati kutokana na vita vya Iran kama sababu.
Zambia inaendelea na juhudi za kudhibiti uchimbaji haramu wa madini, hasa madini ya thamani kama dhahabu.
Mashariki ya Kati inaweza kuchukua hadi miaka 2 kurejesha viwango vyake vya nishati ilivyokuwa kabla ya mgogoro, anasema mkuu wa Shirika la Nishati la Kimataifa Fatih Birol.