Sport
USS Tripoli na wanamaji wake wanaelekea Mashariki ya Kati kusaidia operesheni za kijeshi.
Manowari ya Marekani USS Tripoli yenye makao yake nchini Japan imeanza kuelekea Mashariki ya Kati ikiwa na wanamaji wake.
Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, kikosi hicho kina wanajeshi takribani 5,000 wa Marine ambao wanaweza kushiriki katika operesheni za kijeshi au kusaidia usalama wa bahari.
Hatua hiyo inakuja wakati Marekani ikiendelea kushirikiana na washirika wake katika operesheni dhidi ya Iran.
CHANZO: Newstimehub
Comments
No comments Yet
Comment