Iran yahimiza nchi za Kiislamu kushirikiana kukabiliana na vitisho vya nje.

Tehran yatoa pendekezo la mfumo mpya wa ulinzi wa kikanda

Serikali ya Iran imependekeza kuundwa kwa mfumo mpya wa usalama wa kikanda unaohusisha nchi za Kiarabu na Kiislamu bila kuingilia kwa mataifa ya Magharibi. Kauli hiyo imetolewa huku mzozo wa kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo hilo.

Iran imeeleza kuwa muungano huo utasaidia kuleta mshikamano na kuimarisha usalama wa pamoja dhidi ya vitisho vinavyotoka nje ya eneo hilo.

CHANZO: Newstimehub

#