Aliwahi kuongoza Ufaransa na kugombea urais mwaka 2002.
Lionel Jospin, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa, amefariki dunia Jumapili akiwa na miaka 88.
Katika kipindi chake cha uongozi, Jospin alileta mageuzi makubwa ya kijamii, ikiwemo kuanzisha mfumo wa kazi wa saa 35 kwa wiki. Alijaribu kuwania urais mwaka 2002 lakini hakufanikiwa dhidi ya Jacques Chirac.
CHANZO: Newstimehub