Uchumi na Biashara

Uber yasitisha shughuli zake Nigeria na Uganda

Uber yasitisha shughuli zake Nigeria na Uganda

Mkurugenzi Mtendaji wa Uber, Dara Khosrowshahi, amesema hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa kampuni wa kufanya marekebisho katika shughuli zake duniani baada ya kufanya tathmini ya biashara yake.

3 Septemba 2026
#