Rais Zelenskyy wa Ukraine ‘atenga’ siku 40 za kuishambulia Urusi
Hata hivyo, kiongozi huyo hakutoa taarifa zaidi kuhusu namna operesheni hiyo itakavyoendeshwa.
Hata hivyo, kiongozi huyo hakutoa taarifa zaidi kuhusu namna operesheni hiyo itakavyoendeshwa.
1860 Munich, ambao ni waasisi wa ligi ya Bundesliga, wamewahi kushinda taji la ligi hiyo mwaka 1966.
Uamuzi wa mahakama hiyo iliyojaa wahafidhina, huenda ukaathiri wanufaika takribani milioni moja wa mradi wa hifadhi wa TPS nchini Marekani.
Ali Khamenei anatarajia kuzikwa Julai 9, katika mji wa Kaskazinimashariki mwa Mashhad, mahali alipozaliwa kiongozi huyo.
Wapatanishi wakuu wa Iran wawasili Oman ili kuratibu usimamizi wa muda mrefu wa njia ya kimkakati ya kikanda ya baharini.
Kulingana na nchi hiyo, sheria hiyo inalenga kupiga marufuku matumizi ya simu za mikononi madarasani.
Starmer anasema kujiuzulu kwake kulikuja kutokana na swali la chama chake kuhusu nani atakaewaongoza katika uchaguzi mkuu ujao.
Iran ilionya kuwa makubaliano hayo ya Marekani yanaweza kusambaratika isipokuwa masharti yake yatatekelezwa haraka huku Israel ikijaribu kuvuruga makubaliano hayo kwa kuishambulia Lebanon.
Madaktari wengine 75 wameambukizwa huku vifaa vya kimsingi vya kujilinda kama glavu na barakoa vikipungua, kulingana na maafisa wa afya.
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amewakosoa vikali mawaziri wenye misimamo mikali katika serikali ya Israel kwa kuushambulia mkataba wa amani kati ya Marekani na Iran pamoja na Rais Donald Trump.
Maafisa wa Iran na Marekani wamethibitisha kuwa hati ya makubaliano imesainiwa rasmi siku ya Jumatano, huku ripoti za vyombo vya habari zikisema kwamba Trump aliisaini wakati wa chakula cha jioni katika Ikulu ya Versail
Hata hivyo WHO inasema nchi 59 bado zinapata zaidi ya nusu ya mgao wa damu kutoka kwa wafadhili wanaolipwa au familia, mifumo ambayo kwa ujumla inachukuliwa kuwa isiyo salama na isiyo endelevu.
Tel Aviv imepanua amri zake za 'Hakuna kurudi', ikiwazuia wakazi wa kusini mwa Lebanon kurejea vijijini ndani ya eneo lililotengwa linalonyakua takriban asilimia 6 ya nchi.
Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben-Gvir ameghairi safari ya kifamilia iliyopangwa kuelekea Marekani huku kukiwa na ugumu wa kupata viza.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa “hakuwa anazingatia kubadilisha utawala” nchini Iran, akiongeza kwamba Marekani inashughulika na “watu wenye busara sana.”
Taarifa kutoka kwa Katibu wa Habari za Chama cha Kitaifa, Bolaji Abdullahi, inasema chama kilizuia baadhi ya maafisa wa serikali wa kuunga mkono jitihada za kuondoa chama hicho na vyama vingine vya upinzani katika siasa
Rais Trump atangaza kukamilika kwa makubaliano ya kihistoria huku Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif akithibitisha kuwa sherehe rasmi ya utiaji saini itafanyika Uswisi
Rais wa Marekani amesema kuwa maelezo ya Iran kuhusu makubaliano yaliyopendekezwa “hayana uhusiano wowote na ukweli,” na kuwataja Wairani kuwa “watu wasio waaminifu katika mazungumzo.”
Rais Trump amesema makubaliano ya kusitishwa kwa mapigano yatafikiwa hivi karibuni.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Iran inapendelea kutumia njia ya diplomasia, lakini majeshi yake ya ulinzi “yameendelea kuwa katika hali ya tahadhari” dhidi ya ukiukaji wowote wa mipaka ya nchi hiyo.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa marubani wako salama baada ya helikopta ya Marekani kudunguliwa na Iran karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz.
Karim Khan atafikishwa kwa kamati ya nidhamu ambayo inawakilishwa na mataifa wanachama 125, kulingana na ICC.
Tathmini iliyoripotiwa ya shirika la ujasusi na Ulinzi DIA iliibua kiwango cha tishio la kijasusi nchini Israel, ikitaja wasiwasi kuhusu juhudi za kijasusi zinazowalenga maafisa wakuu wa Marekani.
Kuna takriban mashambulizi 20 ya papa nchini Australia kila mwaka lakini ni nadra kuua kulingana na data kutoka kwa vikundi vya uhifadhi.