Marekani yatadhaharisha raia wake na uwezekano wa kushambuliwa Iraq
Ubalozi huo umewataka raia wa Marekani waliopo Iraq, kufuatilia vyombo vya habari wakati wote, kujiandaa kwa lolote na kufuata maelekezo kutoka mamlaka za Iraq.
Ubalozi huo umewataka raia wa Marekani waliopo Iraq, kufuatilia vyombo vya habari wakati wote, kujiandaa kwa lolote na kufuata maelekezo kutoka mamlaka za Iraq.
Iran imekataa pendekezo la Marekani la usitishaji mapigano lililowasilishwa na Waziri Mkuu wa Iraq, Ali al-Zaidi, ambaye hivi karibuni amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya White House, kwa mujibu wa
Infantino, mwenye umri wa miaka 56, amejenga ukaribu na Rais Trump, hususani wakati wa fainali za michuano ya Kombe la Dunia 2026, zilizoandaliwa kwa pamoja na Marekani, Mexico na Canada.
Kauli ya Iran inakuja baada ya Rais Donald Trump wa Marekani, kutishia kushambulia eneo la kati ya nchi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amesema kombora moja la Iran limefaulu kupenya.
Hantavirus ni aina ya virusi vinavyopatikana kwenye wanyama wagugunaji kama panya, na mara nyingi binadamu huambukizwa virusi hivyo kwa kupumua hewa inayotokana na kinyesi cha panya kilichokauka.
Kulingana na Trump ambaye alikuwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kukutana na Rais Joseph Aoun wa Lebanon, itachukua zaidi ya miaka 20 kwa Iran kujijenga upya.
Polgar, ambaye alitimiza miaka 50, Alhamisi iliyopita, alikuwa ni bingwa wa mchezo wa saratanji kwa miaka 25, kabla ya kustaafu mwaka 2014.
Iran imesema imeshambulia vituo vya kijeshi vya Marekani, ndege na mifumo ya rada katika nchi sita za Kiarabu ambazo ni Kuwait, Oman, Syria, Jordan, Bahrain na Qatar.
Andy Burnham ameahidi kuongeza ujenzi wa nyumba za umma ili kusaidia kutatua tatizo la ukosefu wa makazi na kuongeza rasilimali katika huduma za ustawi wa jamii.
Katika tukio hilo Dkt. Ulene alikata keki akiwa amezungukwa na waongoza watalii, wapagazi, na wapandaji wenzake huku wakimpongeza kwa ujasiri, wakimtakia afya njema na kumpongeza kwa azma yake ya kutimiza ndoto hiyo kati
Mamlaka ya Mawasiliano ya nchini Uingereza (Ofcom) imesema unachunguza iwapo TikTok inafanya vya kutosha kulinda watoto dhidi ya maudhui yenye madhara kama inavyotakiwa na sheria za Uingereza.
Ziara ya Netanyahu nchini Marekani, ilihusisha kukutana na Rais Donald Trump na pia kuhudhuria mazishi ya Seneta Lindsey Graham.
Kulingana na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Lin Jian, Marekani ilikuwa ikiratibu operesheni mbalimbali za kijeshi, ikiwemo kutumia makombora ya masafa marefu dhidi ya Cuba.
Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye, ambaye amekuwa gerezani tangu mwishoni mwa mwaka wa 2024, aliambiwa ana muda wa wiki mbili kukubali mawakili walioidhinishwa na serikali.
Hali kama hiyo ilijitokeza Aprili 2026, ambako kulitokea ucheleweshaji wa mafuta ya ndege, hatua iliyoathiri zaidi uwanja wa ndege wa Bologna.
Brussels ilionyesha kuunga mkono Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, huku Washington ikiahidi kampeni pana inayolenga chombo hicho cha kimataifa cha mahakama.
Ofisi ya Mahmoud Ahmadinejad ilitaja madai kuhusu mawasiliano na Mossad pamoja na kuwekwa kizuizini nyumbani kuwa ya uongo mtupu, na kuishutumu gazeti hilo kwa kuchapisha taarifa za uzushi.
Rais Trump anasema Marekani inapaswa kusimamia njia hiyo muhimu ya Mlango-Bahari wa Hormuz na kulipwa fidia, huku mivutano na Iran ikitishia usambazaji wa nishati duniani.
Usafiri wa meli kupitia njia ya maji ya kimkakati unashuka kwa sababu ya mapigano mapya ya Marekani-Iran na mashambulizi dhidi ya meli yanayoongeza wasiwasi wa usalama katika Ghuba.
Chini ya utawala wa miaka 18 wa Sheikh Hamad, Qatar ilipanda kutoka kuwa taifa la kawaida la Ghuba na kuwa nguvu kubwa ya kimataifa katika nyanja za diplomasia, vyombo vya habari na uchumi.
Akiwa sauti inayoongoza miongoni mwa chama cha Republican kuhusu ulinzi wa taifa na sera za kigeni, Graham alizungumza waziwazi kuhusu Israel, Iran, Ukraine, uhamiaji na masuala ya mahakama.
Kiongozi huyo wa Ukraine anadai kuwa Urusi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta kwa kushindwa kumaliza vita
Jeshi la Anga la Marekani limekiri kuwa ndege hiyo haina vifaa vyote vinavyohitajika kwenye Air Force One.