Rais Ruto kuongoza kongamano la biashara nchini China
Ni katika ziara yake ya kiserikali ya siku nne nchini humo, ambapo mbali na hiyo, pia atajadiliana masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa na mwenyeji wake Xi Jinping.
Ni katika ziara yake ya kiserikali ya siku nne nchini humo, ambapo mbali na hiyo, pia atajadiliana masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa na mwenyeji wake Xi Jinping.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Algeria, Uturuki wenyeviti wenza waratibu mkutano wa tatu wa mipango kati ya Uturuki na Algeria.
Barrick Gold inasema ilitia saini makubaliano yaliyowasilishwa na serikali ya Mali mwezi Februari, lakini serikali ikashindwa kutekeleza.
Kiwango cha biashara cha Uturuki kimeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kukuwa kutoka dola bilioni 3.6 hadi dola bilioni 36.
Serikali ya Waziri Mkuu Navin Ramgoolam imeituhumu serikali iliyopita ambapo maafisa wawili wa zamani wanadaiwa kughushi takwimu za uchumi.