Trump: Putin hataishambulia nchi yoyote iliyoko ndani ya NATO
Trump pia amekanusha taarifa za vyombo vya habari kwamba Mkurugenzi wa CIA, John Ratcliffe, aliionya Urusi kuhusu uwezekano wa kuishambulia ardhi ya NATO.
Trump pia amekanusha taarifa za vyombo vya habari kwamba Mkurugenzi wa CIA, John Ratcliffe, aliionya Urusi kuhusu uwezekano wa kuishambulia ardhi ya NATO.
Muhoozi Kainerugaba anasema kuwa anatarajia kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa 2031, kulingana na ujumbe katika mtandao wa X.
Hapo awali, Rais wa Marekani alisema anaamini Iran haikuwa tayari kufikia "makubaliano sahihi" na Marekani.
Mkuu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa anasema Iran italenga maslahi ya nchi jirani na kuzuia usafirishaji wa mafuta kutoka Ghuba iwapo nchi hizo zitashirikiana na Washington.
Msemaji wa jeshi anasema mabadiliko hayo yanaakisi mafunzo yaliyotokana na vita vya hivi karibuni, na yanajumuisha mipango ya kukabiliana na mashambulizi kwa kasi zaidi pamoja na kufanya operesheni za kuwahi kabla ya sha
Takami alikutwa na hatia ya kuchoma moto jengo moja nchini humo, tukio lililotokea Julai 5, 2009.
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, amesema nchi nyingine zinapaswa kuunga mkono hatua zinazochukuliwa na Marekani au zikabiliwe na matokeo.
Chini ya sheria hiyo, wagonjwa watakuwa na haki ya kupewa dawa maalumu ambayo itaongeza kasi ya kifo kwa mgonjwa husika, ili kumuondolea mateso.
Qatar inaendelea kusisitiza mpango wa utekelezwaji kamili wa usitishwaji mapigano Gaza licha ya upinzani wa Israel, huku ikitoa wito wa kumaliza hali ya taharuki kote katika kanda na kuanzishwa tena kwa mazungumzo kati y
Kamati ya Dharura ya WHO inakutana siku ya Jumanne kujadili mlipuko huo, ambao ulitangazwa kuwa dharura ya kimataifa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, anasema Tehran ilipambana kwa masharti yake yenyewe na kuwalazimu wale waliotaka "isalimu amri bila masharti" kufanya mazungumzo, baada ya Donald Trump kuitaka Iran "kuinua
Rais wa Marekani anasema wanafanya mawasiliano ya moja kwa moja na kikosi cha IRGC cha Iran na kutishia Oman kuhusu hatua yake katika majadiliano, huku akitoa wito kwa Israel kusitishga mashambulizi Gaza.
Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, linalohusishwa na maneno aliyodaiwa kuyatamka kuhusu kusudio la kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Tukio hilo limetokea ndani ya hekalu la Ashok Dham liloloko katika wilaya ya Lakhisarai, wakati wakitoa ibada kwa mungu wa kihindu, maarufu kama Shiva.
Wito waa Papa Leo unaongeza shinikizo la kimataifa kuhusu jinsi Wapalestina wanavyotendewa katika Ukingo wa Magharibi, ambapo upanuzi wa makazi na vurugu za walowezi vimebaki kuwa kikwazo kikubwa kwa juhudi za amani ya k
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje anasema Tehran na Muscat bado zinajadili taarifa hiyo; kurejeshwa kikamilifu kwa usalama katika njia hiyo ya maji kunategemea kukomeshwa kwa hatua za Marekani.
Rais wa Marekani Donald Trump anawahimiza Wamarekani kukubali bei ya juu ya mafuta, huku akiongeza kuwa hivi karibuni atatangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani. Iran inajibu kwa kusema haitishwi na vitisho
Kulingana na Idara ya taifa ya majanga ya nchini humo (UNGRD), hadi kufikia sasa, watu 3,975 wamejeruhiwa na wengine 379 hawajulikani walipo.
Uokoaji huo, umefanyika wakati wa eneo la monasteri hiyo, lilipokumbwa na moto nyika unaoendelea maeneo tofauti ya nchi hiyo.
Hapo awali, jarida hilo lilidai kuwa, Rais Trump alihamishwa kwenye ndege nyingine badala ya Air Force One, baada ya kuwepo na hofu ya usalama kwenye ndege mpya ya Boeing 747-8 iliyozawadiwa Marekani na Qatar.
Kulingana na kiongozi huyo, uwezo wa kijeshi wa Iran umedhibitiwa vya kutosha, huku wanajeshi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) wakisambaratika na kukimbia.
Zhu atakumbukwa kwa msimamo wake mkali dhidi ya ufisadi.
Rais wa Marekani amesema walinzi wake na jeshi la Marekani walimshauri kutumia ndege nyingine kufuatia tishio linalodaiwa kutoka Iran baada ya mkutano wa kilele wa NATO.
Mahakama nchini Syria imemhukumu Assad kwa kupanga mauaji, mateso, kufunga watu bila hatia na uhalifu dhidi ya ubinadamu.