Uturuki na Bangladesh Zaimarisha Ushirikiano wa Kulinda Urithi wa Utamaduni
Uturuki na Bangladesh zimesaini makubaliano mapya ya kulinda mali za utamaduni, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya mataifa hayo mawili.
Uturuki na Bangladesh zimesaini makubaliano mapya ya kulinda mali za utamaduni, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya mataifa hayo mawili.
Ushirikiano wa sekta ya afya kati ya Uturuki na Niger umeendelea kuimarika kufuatia mkutano wa ngazi ya juu uliofanyika katika Ikulu ya Rais mjini Ankara.
Ushirikiano wa sekta ya afya kati ya Uturuki na Niger umeendelea kuimarika kufuatia mkutano wa ngazi ya juu uliofanyika katika Ikulu ya Rais mjini Ankara.
Wachunguzi wameomba muda zaidi kuchunguza moto huo ambao ulianzishwa kwa kuchoma godoro karibu na mlango wa bweni kwa kutumia kiberiti na mafuta ya taa.
Madaktari Wasio na Mipaka wanasema kukwama kwa majaribio, ucheleweshaji wa usambazaji na uwezo mdogo wa kiafya unaotatiza juhudi za kudhibiti milipuko
Familia inasema Mahakama Kuu ya Pretoria ilikosea kuipa serikali ya Zambia mamlaka ya kusimamia mazishi
Mbali na mauaji yaliyotokea, moto huo uliowaka usiku wa kuamikia Alhamisi pia ulijeruhi wengine 79.
Tangu kuwasili Marekani, Gyasi amepelekwa hospitali mara mbili kwa matatizo ya ujauzito, ikiwemo kutokwa na damu nyingi na kisunzi.
WHO imesema utafiti wa chanjo na matibabu sharti yafanyike katika majaribio ya kimaabara peke huku maambukizi ya Ebola yakiendelea kwa kasi nchini DRC na Uganda wakati ambapo vituo vya afya vimekuwa vikishambuliwa.
Katika miaka miwili iliopita, kumekuwa na matukio yasiopungua manne ya kufichua maabara za kutengeneza dawa nchini Afrika Kusini.
Wizara imeeleza kuwa Ebola imeathiri maeneo 13 ya kiafya katika mikoa mitatu
Takriban wanafunzi 10 wanahofiwa kufariki baada ya moto kuwaka katika bweni la shule ya wasichana ya Utumishi Academy huko Gilgil, Kaunti ya Nakuru, Kenya, mapema alfajiri ya Alhamisi.
Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kiwango cha uandikishaji wakimbizi kwa 10,000 kwa mwaka huu ili kuruhusu Waafrika Kusini zaidi wazungu kuja nchini humo
Wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Oxford wanasema wanafanya kazi kwa haraka ikiwa hali ya milipuko ya sasa na chanjo yao ya majaribio inahitajika.
Marufuku hiyo inakuja wakati mataifa hayo matatu yakiwa yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo ambao hadi kufikia sasa, umegharimu maisha ya watu zaidi ya 130.
Lukuvi alifariki dunia Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.
Mlipuko wa kipindupindu katika gereza moja magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umesababisha vifo vya wafungwa wasiopungua 11 na kuwaambukiza wengine kadhaa, wizara ya sheria imesema Jumatatu.
Kulingana na waziri wa afya wa nchi hiyo, kwa sasa, jumla ya wagonjwa 34 wanapatiwa matibabu katika vituo mbalimbali vya afya.
Huku maambukizi yaliyothibitishwa yakikaribia mara mbili ikilinganishwa na mwaka jana, Argentina inapinga 'kuingilia kati' kwa WHO na inalaumu mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuongezeka kwa maambukizi.
Amesema Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya elimu wakati ikitekeleza mtaala mpya wa elimu ili kuziba mianya ya mahitaji shuleni.
TRT inaendelea kuimarisha uwepo wake wa kimataifa katika sekta ya filamu, kazi zake zilizotayarishwa kwa ushirikiano na wakurugenzi mashuhuri duniani zapigania tuzo katika mashindano makuu ya Tamasha la Filamu la Cannes
Mamlaka ilisema waathiriwa, wenye umri wa kati ya miaka 18 na 30, walikuwa wameajiriwa kupitia ofa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, na kuahidiwa kulipwa fidia ya kifedha.
Maelfu ya wakimbizi walioko nchini Burundi walikimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Tamasha la Sayansi Afrika 2026: Tamasha kubwa la sayansi kwa vijana barani Afrika limefanyika mjini Abidjan, Côte d'Ivoire, likiwa na washiriki kutoka nchi takriban 27 za Afrika.